Poll: Is it time for Raila Odinga to retire from active politics?

Is it time for Raila Odinga to retire?

  • Yes

    Votes: 25 69.4%
  • No

    Votes: 11 30.6%

  • Total voters
    36

Jay456watt

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
10,356
Reaction score
7,992
Odinga ana umri wa miaka 72 sasa
Bila shaka odinga amekuwa katika siasa za Kenya kwa muda mrefu sana.
Amesimama urais zaidi ya mara tatu na akashindwa kila wakati
Is this a sign that he should just give up his ambitions for the presidency at last and let other people try?
2013 ali simama urais na Kenyatta na akabwagwa
2017 wakenya walidhani kuwa atampisha Kalonzo awe mgombea urais ila haikufanyika.
2017 inaonekana kuwa bado amepoteza hata kama bado matangazo rasmi toka IEBC hayajafanywa.
Je, unadhani ni wakati Odinga ajiuzulu ktk siasa za Kenya?

please cast ur vote in the poll above..Yes or No answers please....you can follow up with a short comment afterwards...


Five things Raila Odinga said during his CNN interview
 
Kagombea mara nne na zote "anashindwa". Something is either wrong with him or the system and I would go for the later.
 
Mugabe ana miaka 95 hajastaafu, Leo Odinga ana 72 tu unataka asaafu? acha wivu mkuu!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
it has nothing to do with age...he should resign because he has held this country hostage...there are 45 million kenyans who are capable of running for president...Kalonzo, Mudavadi etc....my point is that he shld give other ppl a chance...he has already failed 4 times...awachie wengine wagombee pia..
 
inaweza kuwa kaibiwa kila wakati ila nikama Mola amemkataa kabisa huyu jamaa...bila shaka kuna sababu ya Mola kumkataa odinga kabisa
 
inaweza kuwa kaibiwa kila wakati ila nikama Mola amemkataa kabisa huyu jamaa...bila shaka kuna sababu ya Mola kumkataa odinga kabisa
Mola gani kamkataa mbona formee IEBC chairman Isaack hassan kakiri odinga amechezewa rafu sana kwenye chaguzi kenya or u know better than Him???? Kivuitu je mbona kakiri odinga aliibiwa kura???

Ambacho odinga anaanguka sababu wakikuyu wanaogopa akiingia madarakani atarevenge na kucreate a LUO dynasty and supress kikuyus...... thats it zaidi ya hapo Raila anapendwa na wakenya wote na ndio maana chama chake ndio the only party ambacho kipo kitaifa kuliko vyama vyote from east to west to central to north
 
Kalonzo na Mudavadi nao ni majeruhi wapya wa uchaguzi wa mwaka huu. Dr Mutua ameibuka kama mwanasiasa mwenye nguvu Ukambani akimpiku Kalonzo na wenzake walio kuwa NASA. Akina Mudavadi hawakufanya vema huko kwa Waluya. Hawakufanikiwa kumsaidia Odinga kumshinda Uhuru ktk eneo la jamii yao
 
Definitely a big YES ,huyu jamaa is selfish ,siasa zake hazina sera ,he's divisive ,hakuna wakati atakosa visingizio and he has no faith in any national institutions.Aende nyumbani tupate amani.
 
noted
 
jambo ninalolijua ni kuwa Kalonzo hawezi akamkubali asimame tena....bila shaka akisimama tena Kalonzo atatoka ktk muunganowa NASA

Kalonzo naye hawezi toboa hata ije nini. Ha ha ha ha
computer voting haiwezi mwacha mtu salama.
Nyie mnatuma matokeo kutoka kenya yanaenda UK ndo yanarudi Kenya, hapo kuyachakachua ni rahisi mno.
 
jambo ninalolijua ni kuwa Kalonzo hawezi akamkubali asimame tena....bila shaka akisimama tena Kalonzo atatoka ktk muunganowa NASA

Kalonzo pia amepoteza sana kule kwake, amepoteza Machakos na Kitui, kumbuka Kitui imechukuliwa na Ngilu ambaye Kalonzo alikua ameomba asipewe kura, hivyo kwa kifupi huyo hana ushawishi tena.

Mtu aliyeibuka mshindi kwenye muungano wa NASA ni Mudavadi, huyu jamaa alikua amezikwa kwenye kaburi la sahau lakini ametumia mgongo wa Raila na kupata wabunge na magavana haswa kwenye mkoa wa Magharibi, yaani amefuta uwepo wa ODM kwenye huo mkoa.

Raila ingekua bora akatulia bado akiwa na ushawishi, sio siri muda huu ameshindwa barabara kwenye huu uchaguzi, maana Jubilee wamezoa wabunge, maseneta na magavana wengi hata kwenye gatuzi ambazo tulijua siku zote ni za Raila. Bora astaafu kistaarabu, sio lazima awe rais, kwanza napenda kwamba familia ya Odinga na Kenyatta ndio mwisho wao kututawala na kutuweka katika hali ya taharuki za kikabila. Wanaondoka wote, hata Uhuru miaka ijayo mitano itakua ndio mwisho wa himaya ya Kenyatta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…