MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Mkuu 51% majority kwenye senate na governors ndio kipigo balaaa???? Tena nmekuza tu ila walipata 24 yaani half ya seneti sasa kipigo gani hapo???
Kwa siasa zilivyo huyo mutua akimuunga mkono odinga kwenye urais hata ngilu pia so obviously watatengeneza coalition ya pamoja ya upinzani come 2022 ukizingatia siasa za kenya za ukabila nafkiri utanielewa namaanisha nni
Kwa ufupi hta kma ameshinda kihalali ila ameshinda kwa simple majority sio kipigo kma unavyotaka kupotosha
Unaonekana kuzijua siasa za Kenya ila kuna maeneo unafaa kurekebishwa wewe mtu wa Zitto Kabwe, au labda wewe Zitto unatuzuga tu humu.
Sasa naomba nikuweke sawa, itakua rahisi kwanza nikupe historia kidogo kuhusu matokeo ya 2013, Jubilee ilitimiza magavana 18 ilhali wa mlengo wa CORD walifikia 23
Sasa leo hii Jubilee wameongeza kutoka kwa hao wa awali 18 hadi 25 na isitoshe wamewapata kutoka kwenye ngome za NASA. Hicho ni kipigo, kwanza ukihesabu wabunge na maseneta yaani hadi wengine wetu tunaanza kuwa na wasiwasi maana upinzani umevunjwa vunjwa kiasi cha kuachia serikali, halafu uongeze kwamba Raila kuna uwezekano mkubwa akastaafu maana tulimtegemea kwenye kupiga mayowe kila wakati uozo ukichipuka.