Poll. kati ya hawa members nani mkali kwa mastory..?

Dah... halafu ukute ...
mleta uzi na hao wote ni nafsi moja😀😀😀😀😀😀😀😀😎
 
Ahha ha-ha hhaa
 
Msaga sumu anapotea sana siku hizi....
 
Ungeweka baadhi ya thread zao japo tupitie,wengine hatujawahi kusoma/kupitia sredi zao so hatuwezi kupima.
 
Kwasasa GuDume hana mpinzani hahaha
btw where is lara1
 
niseme wazi jambo moja ndugu zanguni. mimi simfaham generali gagadudu. sijawah mfaham ... kuna IDs nyingi ambazo watu wamekuwa wakinipa ila kiuhalisia ninabaki na ID yangu hii tu maana ndo chata yangu toka kitaa na kokote niendako nafahamika kwa jina hilo nililopewa na wazazi . GUDUME GWENU GWAMBEGU huwa mtaani wananiita Triple G.
 
1&2 ni mtu mmoja anayetumia id 2 tofauti.
 
General Galadudu huyu jamaa mwisho kwa kugegeda kura yangu nampa huyu hata kama anagombea urais wa Tz. hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…