Poll. kati ya hawa members nani mkali kwa mastory..?

Dah... halafu ukute ...
mleta uzi na hao wote ni nafsi moja😀😀😀😀😀😀😀😀😎
 
Eti kati ya hwa members hapa chini nani anaongoza kwa mastory ya mapenzi na mikasa ya kusaka papuchi..

1. General Galadudu huyu jamaa ananifurahishaga sana kwenye mishe zake za kusaka papuchi yupo kama pimbi yeye anapenda kujiita Jasusi la KJB kwenye kusaka Papuchi, mzee wa manati ya Mzungu..
He is the best to me..

2. GuDume huyu jamaa nae kama vile kamlisi le supa general Galadudu au ni mtu mmoja maana story zao duuu..!

3. Seneta Wa Mtwiz Huyu nae mishe zake za madem sijaona kafanikiwa.

4. MSAGA SUMU huyu nimeamua nimuweke japo siio papuchi fighter ila Mada zake na le mutuz waweza vunjika taya kwa kucheka..

Nani mkali hapoo..?
Kama hakuna ongeza wakwako unao wafaham..
Ahha ha-ha hhaa
 
Msaga sumu anapotea sana siku hizi....
 
Ungeweka baadhi ya thread zao japo tupitie,wengine hatujawahi kusoma/kupitia sredi zao so hatuwezi kupima.
 
Kwasasa GuDume hana mpinzani hahaha
btw where is lara1
 
niseme wazi jambo moja ndugu zanguni. mimi simfaham generali gagadudu. sijawah mfaham ... kuna IDs nyingi ambazo watu wamekuwa wakinipa ila kiuhalisia ninabaki na ID yangu hii tu maana ndo chata yangu toka kitaa na kokote niendako nafahamika kwa jina hilo nililopewa na wazazi . GUDUME GWENU GWAMBEGU huwa mtaani wananiita Triple G.
Eti kati ya hwa members hapa chini nani anaongoza kwa mastory ya mapenzi na mikasa ya kusaka papuchi..

1. General Galadudu huyu jamaa ananifurahishaga sana kwenye mishe zake za kusaka papuchi yupo kama pimbi yeye anapenda kujiita Jasusi la KJB kwenye kusaka Papuchi, mzee wa manati ya Mzungu..
He is the best to me..

2. GuDume huyu jamaa nae kama vile kamlisi le supa general Galadudu au ni mtu mmoja maana story zao duuu..!

3. Seneta Wa Mtwiz Huyu nae mishe zake za madem sijaona kafanikiwa.

4. MSAGA SUMU huyu nimeamua nimuweke japo siio papuchi fighter ila Mada zake na le mutuz waweza vunjika taya kwa kucheka..

Nani mkali hapoo..?
Kama hakuna ongeza wakwako unao wafaham..
 
Eti kati ya hwa members hapa chini nani anaongoza kwa mastory ya mapenzi na mikasa ya kusaka papuchi..

1. General Galadudu huyu jamaa ananifurahishaga sana kwenye mishe zake za kusaka papuchi yupo kama pimbi yeye anapenda kujiita Jasusi la KJB kwenye kusaka Papuchi, mzee wa manati ya Mzungu..
He is the best to me..

2. GuDume huyu jamaa nae kama vile kamlisi le supa general Galadudu au ni mtu mmoja maana story zao duuu..!

3. Seneta Wa Mtwiz Huyu nae mishe zake za madem sijaona kafanikiwa.

4. MSAGA SUMU huyu nimeamua nimuweke japo siio papuchi fighter ila Mada zake na le mutuz waweza vunjika taya kwa kucheka..

Nani mkali hapoo..?
Kama hakuna ongeza wakwako unao wafaham..
1&2 ni mtu mmoja anayetumia id 2 tofauti.
 
General Galadudu huyu jamaa mwisho kwa kugegeda kura yangu nampa huyu hata kama anagombea urais wa Tz. hahaha
 
Back
Top Bottom