Poll: Trump kamgaragaza Kamala Harris kwa 78% kwa zaidi ya kura milioni 1 huko X (Twitter)

Hata mimi ninempigia Trump kura yangu kwenye page ya Elon Musk. Democrats wametchosha na vita vya Ukraine, Israel, Sudan, DRC na sasa walikuwa wanataka kuanzisha Venezuela
 
Ulitegemea nini toka kwa Elon Musk?
Elon Musk atumie ushawishi wake alionao kuwahamasisha wamarekani wampigie kura kwa wingi Donald Trump ( m'beba maono ya dunia) kuwa rais ajaye wa marekani.
 
Kama hilaly Clinton pamoja backup kubwa ya mumewe kushindwa sio dalili za kamala kutoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…