Poll: Trump kamgaragaza Kamala Harris kwa 78% kwa zaidi ya kura milioni 1 huko X (Twitter)

Kwa ufahamisho tu Nyani Ngabu alikuwa ni shabiki wa Trump na hadi leo hajabadilisha msimamo wake huo!
Itakuwa nimechanganya majina. Kwenye lile vuguvugu la uchaguzi kwenye ile mada alikuwepo mtu mbishi akiambiwa trump anapita yeye alikuwa anakataa na ni ID maarufu humu
 
Kiukweli ukweli katika uchaguzi ule waliompa Trump ushindi ni Democrats wenyewe na sidhani kama wako tayari kurudia kosa.

Sitaeleza zaidi lakini kwenye popular votes Clinton alishinda kwa kura nyingi tu kama ilivyotegemewa ila tatizo ikawa electoral college.

Many democrats hawakuona umuhimu wa kjitokeza kupiga kura kwani walikuwa na uhakika wa ushindi na hivyo ikala kwao, wakaangukia pua!
 
Na Clinton hakujisumbua ku campaign katika majimbo kama Michigan kwa sababu traditionally yalikuwa yana pigia kura Democrats. Trump akashinda Michigan kwa kura 10,000 na Pennsylvania kwa takriban kura 50 000!

Na kingine ni Attorney General kutangaza siku za mwisho kuwa anaweza kumfungulia mashtaka Clinton ( cha kushangaza Republicans wamemchagua a convicted felon kugombea)! Apathy, complacency na dirty tricks ndio zilimponza Hillary.

Inaelekea Democrats wamejifunza maana kila mmoja anakazia kuwa Trump bado anaweza kushinda kwa hiyo kila kura ni muhimu.

Amandla..
 
Nyani Ngabu and your buddy Donald Trump, I find it so hard to tell you apart!
Same uncouthness, boorishness, churlishness, rowdiness, and crassness.
No gentility, cultivation, refinement, tastefulness, elegance or courtliness!
Stop lying on my name.
 
Na Clinton hakujisumbua ku campaign katika majimbo kama Michigan kwa sababu traditionally yalikuwa yana pigia kura Democrats. Trump akashinda Michigan kwa kura 10,000 na Pennsylvania kwa takriban kura 50 000!

Na kingine ni Attorney General kutangaza siku za mwisho kuwa anaweza kumfungulia mashtaka Clinton ( cha kushangaza Republicans wamemchagua a convicted felon kugombea)! Apathy, complacency na dirty tricks ndio zilimponza Hillary.

Inaelekea Democrats wamejifunza maana kila mmoja anakazia kuwa Trump bado anaweza kushinda kwa hiyo kila kura ni muhimu.

Amandla..
2016 ilikuwa ni ‘change’ election.

Baada ya miaka 8 ya Democrats kuwa madarakani, wananchi huwa wanaamua kubadili chama.

Kwa mfumo wa Marekani, huwezi kushinda uchaguzi mkuu hususan wa urais kwa kutumia base ya chama chako tu.

Hakuna Democrats wala Republican wa kutosha kuweza kumpa mtu ushindi bila ya kuwashawishi na wale wasio wafia vyama.
 
Guilty as charged.

Amandla...
She is dumb. A total airhead.

Kinachombeba ni mainstream media ya Marekani tu. Hana kabisa uwezo wa kuongea. Hawezi kuelezea chochote kile kwa kina na akaeleweka.

Kichwani ni mtupu kabisa huyo mama na ndo maana 2020 alijitoa kabla ya hata ya caucus ya Iowa.
 
Says a person whose hero genius recommended injecting disinfect to cure covid.

Judge Kavanaugh anajua kama Kamala ni idiot au sio.

Mtu makini anajua wakati wa kujitoa. Kujitoa kwake mapema ndio kulimuweka mahali pazuri pa kuteuliwa kuwa running mate. Alikuwa anacheza chess wakati wengine wako kwenye checkers.

You are so desperate!

Trump is dumb and I’ve called him that umpteen times here!

Try something else.
 
hizi ni kura za mashabiki wa elon, it is rubbish!
Kuna tatizo kubwa sana la uelewa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na hivyo kusababisha ujinga kuwa mtaji mkubwa wa chama tawala. CCM.

Ndege wafananao huruka pamoja hivyo si ajabu kwa Trump na Elon kuwa kambi moja...wote hawa ni warithi wa mabilioni kutoka kwa wazazi wao.
 
Na ni narcissists wa kutupa.

Amandla...
 
Back
Top Bottom