Itakuwa nimechanganya majina. Kwenye lile vuguvugu la uchaguzi kwenye ile mada alikuwepo mtu mbishi akiambiwa trump anapita yeye alikuwa anakataa na ni ID maarufu humuKwa ufahamisho tu Nyani Ngabu alikuwa ni shabiki wa Trump na hadi leo hajabadilisha msimamo wake huo!
Kiukweli ukweli katika uchaguzi ule waliompa Trump ushindi ni Democrats wenyewe na sidhani kama wako tayari kurudia kosa.Itakuwa nimechanganya majina. Kwenye lile vuguvugu la uchaguzi kwenye ile mada alikuwepo mtu mbishi akiambiwa trump anapita yeye alikuwa anakataa na ni ID maarufu humu
Unafikiri Wamarekani ni WALISHA?Marekani iko tayari kuongozwa na nyani lakini si MWANAMKE
Guilty as charged.Kumbe na wewe ni team Cackling Word Salad Queen? 🤣🤣
Na Clinton hakujisumbua ku campaign katika majimbo kama Michigan kwa sababu traditionally yalikuwa yana pigia kura Democrats. Trump akashinda Michigan kwa kura 10,000 na Pennsylvania kwa takriban kura 50 000!Kiukweli ukweli katika uchaguzi ule waliompa Trump ushindi ni Democrats wenyewe na sidhani kama wako tayari kurudia kosa.
Sitaeleza zaidi lakini kwenye popular votes Clinton alishinda kwa kura nyingi tu kama ilivyotegemewa ila tatizo ikawa electoral college.
Many democrats hawakuona umuhimu wa kjitokeza kupiga kura kwani walikuwa na uhakika wa ushindi na hivyo ikala kwao, wakaangukia pua!
Stop lying on my name.Nyani Ngabu and your buddy Donald Trump, I find it so hard to tell you apart!
Same uncouthness, boorishness, churlishness, rowdiness, and crassness.
No gentility, cultivation, refinement, tastefulness, elegance or courtliness!
2016 ilikuwa ni ‘change’ election.Na Clinton hakujisumbua ku campaign katika majimbo kama Michigan kwa sababu traditionally yalikuwa yana pigia kura Democrats. Trump akashinda Michigan kwa kura 10,000 na Pennsylvania kwa takriban kura 50 000!
Na kingine ni Attorney General kutangaza siku za mwisho kuwa anaweza kumfungulia mashtaka Clinton ( cha kushangaza Republicans wamemchagua a convicted felon kugombea)! Apathy, complacency na dirty tricks ndio zilimponza Hillary.
Inaelekea Democrats wamejifunza maana kila mmoja anakazia kuwa Trump bado anaweza kushinda kwa hiyo kila kura ni muhimu.
Amandla..
She is dumb. A total airhead.Guilty as charged.
Amandla...
Says a person whose hero genius recommended injecting disinfect to cure covid.She is dumb. A total airhead.
Kinachombeba ni mainstream media ya Marekani tu. Hana kabisa uwezo wa kuongea. Hawezi kuelezea chochote kile kwa kina na akaeleweka.
Kichwani ni mtupu kabisa huyo mama na ndo maana 2020 alijitoa kabla ya hata ya caucus ya Iowa.
You are so desperate!Says a person whose hero genius recommended injecting disinfect to cure covid.
Judge Kavanaugh anajua kama Kamala ni idiot au sio.
Mtu makini anajua wakati wa kujitoa. Kujitoa kwake mapema ndio kulimuweka mahali pazuri pa kuteuliwa kuwa running mate. Alikuwa anacheza chess wakati wengine wako kwenye checkers.
Amandla...
Thou protest too much.You are so desperate!
Trump is dumb and I’ve called him that umpteen times here!
Try something else.
hizi ni kura za mashabiki wa elon, it is rubbish!Updated - Kura zaidi ya milioni 4 na laki 3 zimepigwa
ELON ANAONGOZA KWA ASILIMIA 74
View attachment 3075613
Pia soma: LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Kuna tatizo kubwa sana la uelewa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na hivyo kusababisha ujinga kuwa mtaji mkubwa wa chama tawala. CCM.hizi ni kura za mashabiki wa elon, it is rubbish!
Na ni narcissists wa kutupa.Kuna tatizo kubwa sana la uelewa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na hivyo kusababisha ujinga kuwa mtaji mkubwa wa chama tawala. CCM.
Ndege wafananao huruka pamoja hivyo si ajabu kwa Trump na Elon kuwa kambi moja...wote hawa ni warithi wa mabilioni kutoka kwa wazazi wao.
🤣🤣🤣🇺🇸Kumbe Nyani Ngabu ni hardcore MAGA?
Amandla....
🤣🤣Guilty as charged.
Amandla...
Habari mkuu.🤣🤣🤣🇺🇸
Yes.Habari mkuu.
Nakukumbusha ulisema utaeleza kwanini ulisema Kamala atashinda