Polls: JF Man Of The Year 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Man Of The Year 2011"?

  • BAK - Bubu Ataka Kusema

    Votes: 19 29.7%
  • Aspirin

    Votes: 29 45.3%
  • EMT

    Votes: 16 25.0%

  • Total voters
    64
  • Poll closed .

Superman

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,702
MODS: Naomba Polls zikimalizika Threads zote hapa chini ziunganishwe: https://www.jamiiforums.com/mahusia...n-and-woman-of-the-year-2011-competition.html

Kampeni na Upigaji wa Kura na Umeshaanza kwa Categories Zote:

Tafadhali Piga Kura Yako Hapa:












Wana Jamii

Baada ya Mchakato wa Kura za maoni Kumalizika na Kusikiliza Rufaa zote, Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) imepitisha Majina ya Wagombea Watakaoingia Fainali na Kupigiwa Polls.

Ili kuuelewa mchakato ulikoanzia, tafadhali pitia uzi huu:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html

Washindi waliopatikana sasa Watashindanishwa kwa Polls/Kura ili kupata Mshindi wa kila Category.

Majina yaliyopitishwa baada ya Wagombea wengi sana kuchujwa Katika Category ya:

JF Man Of The Year 2011 ni:

1. BAK (Bubu Ataka Kusema)
2. Aspirin
3. EMT

Tafadhali piga kura yako kwa yule unayedhani anafaa kuwa
JF Man Of The Year 2011 kwa kuzingatia vigezo vilivyotajwa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html

Ili kuleta raha na changamoto ya Ushindani - kampeni za kuwapamba wagombea na kuwapigia debe kwenye PM kwa members mbalimbali au katika uzi huu inaruhusiwa.

NB: ID zitakazopiga kura na kuhisiwa kuwa zinachakachua kwa maana ya ID Mpya kabisa au ID mfu ambazo si active kwa kipindi kirefu hadi kipindi hiki cha kura zote zitaondolewa.

Uamuzi wa Tume Utakuwa Wa Mwisho.
Signed & Sealed:


Superman
Chairman - JEC

 
Vote for Aspirin

all wajukuuz, this is family matter.
Mnakumbuka yule diwani aliyepata kura 1, akaenda kuwafukuza mama na watoto maana hawakumpigia?

'Aspirin for stress free JF'
 
Babu Aspirin!


Note: ukishinda babu hakuna bakora tena, tuna sign mkataba campaign inaanza rasmi!
 
ndio amyner
na nitalisimamia hilo

Asprin for full entertainment na mapweint.

'Aspirin for stress free JF'
Babu Aspirin!


Note: ukishinda babu hakuna bakora tena, tuna sign mkataba campaign inaanza rasmi!
 
Nipe muda, tutakuwa tushapata slogan
ngoja fello tablet kloro aje.


Afu ujue babu ni entertainer na anamingo na watu wote?
Hapo hapo, tutafutie slogan.

Au iwe 'Asprin for stress free JF'
vote for Asprin.

Sasa kongosho tutengeneze slogan..
 
Hapa ni fellow tablet tu.
Warning: nikigundua yoyote ambae hajaweka kura yake kwa fellow tablet Aspirin kama mwanaume namshusha busha kama mwanamke namshusha matiti mpaka kiunoni. Faza wangu anaishi sumbawanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…