Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
mahari zenu zitafanyiwa top up.
Na vakesheni in Spain au France.
Na vakesheni in Spain au France.
hehehe na ambao tushaolewa teari inakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehe na ambao tushaolewa teari inakuwaje?
Hapa ni fellow tablet tu.
Warning: nikigundua yoyote ambae hajaweka kura yake kwa fellow tablet Aspirin kama mwanaume namshusha busha kama mwanamke namshusha matiti mpaka kiunoni. Faza wangu anaishi sumbawanga.
Webcam zitawekwa kwenye PM - vote for aspirin
Ili watu wa mpwapwa wawe na nafasi ya kujiunga JF, tutafungua cafe moja ya gorofa - Vote for aspirinkhaaaa!
Asprin!
Hivi hapo tayari nimeshapiga kura au?
Ili watu wa mpwapwa wawe na nafasi ya kujiunga JF, tutafungua cafe moja ya gorofa - Vote for aspirin
Tutaweka dripu za bure JF dokta - vote for aspirintutahakikisha wote mnaokesha jf mnapewa vyandarua vyenye ngao msing'atwe na mbu. Vote for BAK.
Tutaweka dripu za bure JF dokta - vote for aspirin
Tutatoa mikopo ya kamera za samsung kwa wadau wa jukwaa la JF photos - vote for fellow tablethata msiochangia jf tutawapa vyeo vya upremium. Vote for BAK.
Tayari..naona babu anaongoza kwa asilimia kubwa tu! Na kule kwako tayari familia yetu imeshakukubali!kavote mwanzo wa sredi bana
afu ntakupa kile kitu nlichokuwa nimekunyima.
Tutatoa mikopo ya kamera za samsung kwa wadau wa jukwaa la JF photos - vote for fellow tablet
Tayari..naona babu anaongoza kwa asilimia kubwa tu! Na kule kwako tayari familia yetu imeshakukubali!
Haya jiandae kunipa leo kabla Canta hajashtuka!!
vote for BAK, tutawapa dawa za kupunguza vitambi vyenu bure.
vote for BAK, tutawapa dawa za kupunguza vitambi vyenu bure.
dawa yenyewe utayayowapa ni Aspirin na sponsor ni Aspirin
vote for aspirin
Ukigusa tu keyboard yako, utaongozwa moja kwa moja MMU na ID yako juu, Vote for Aspro.
vote for BAK utauonja ufalme wa mbinguni.
Mwaya vipi tena? umebadili mawazo?vote for BAK utauonja ufalme wa mbinguni.