Polls: JF Man Of The Year 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Man Of The Year 2011"?

  • BAK - Bubu Ataka Kusema

    Votes: 19 29.7%
  • Aspirin

    Votes: 29 45.3%
  • EMT

    Votes: 16 25.0%

  • Total voters
    64
  • Poll closed .
Zion D ntakushtaki

Umetufukuzia Neiwa wetu.

Teamo, sorry babu mdogo vipi ulifanikiwa japo kuchukua namba ya simu?

...aisee babu -mkagua naona Neiwa kaingia mitini....!

sasa sijui tunafanyeje hapa
 
Mimi ni wa hapahapa usipumbazwe na hizi suti mpya nilizovaa, am just telling u the truth usipotoshwe na ile slogan ya we dare to speak openly!!

what r u insunyueting?Nikuogope wewe au Superman?Na kwa lipi hasa ?Kaka sijui dada...tafadhali usinijengee mazingira ya hofu..If ur dont walk the talk is up to you!.
I will dare to talk. as long as sijavunja sheria.
So hueleweki sijui unaongea nini hapa.chanell hazikamati.
 
Ahahahaa.Neiwa kakimbia? pole jamani.labda teamo kapewa fesibuku aidii.
Lakin sasa nishajua.kutokana na sifa alizokupa Teamo inabidi tukuundie tume ya TAKUKURU..haiwezekani hapa kutakuwa na harufu ya rushwa ya ukaguzi
Huyu Teamo ,sorry babu mdogo huyu.

Nimemwachia nafasi kiduchu kampeperusha Neiwa.

Lakini hii yote umesababisha wewe na mapovu yako. Ulivyosema sifai mwenzio akakonkludi kuwa nishakanyaga mawaya...khaa!
 
hahahah!...
huyo ndo junio sasa....!nae anaitwa G ivo ivo....!
asee usisahau kuniletea raba,suruale na shati ukirudi....!

Mhh Hongera baba G.Hizo raba na suruale huku sijui..ila viazi na mahindi ntajitahidi kubeba.
 
Siku hizi umekuwa mnoko sana

Afu nikuambie kitu? Ukiwa mnoko hata haupendezi.
 
Huyu Teamo ,sorry babu mdogo huyu.

Nimemwachia nafasi kiduchu kampeperusha Neiwa.

Lakini hii yote umesababisha wewe na mapovu yako. Ulivyosema sifai mwenzio akakonkludi kuwa nishakanyaga mawaya...khaa!

Ahahahaaa.Haya ngoja nisepe ili wajukuu warudi.
Yuko mwingine huko sijui jeiibii ananitishia Ban.Mwambie SIOGOPI!!!!
Take care lakni.
 
Ahahahaaa.Haya ngoja nisepe ili wajukuu warudi.
Yuko mwingine huko sijui jeiibii ananitishia Ban.Mwambie SIOGOPI!!!!
Take care lakni.
I will. And you too darlie. Si wajua navyokumisi lakini?
 
Siku hizi umekuwa mnoko sana

Afu nikuambie kitu? Ukiwa mnoko hata haupendezi.
yani mbona leo unanichekesha kweli.nilikuwa nimeaga ikabidi nirudi..Hiyo sentensi yako eti mm mnoko siku hizi?
Dah.enewei things changes.
Lakn nipo siriaz..HUFAI kuwa JF MAN of year 2011.Ukitaka sababu nitakuPM.
 
Mimi niite unavyopenda maana nina jinsia zote, samahani kama nimekukwaza, hapa ni sehemu tu ambayo tunaenjoy fun na kufanya maisha yaendelee, kama ur taking very serious vitu vya kimtandao basi akili yako ina walakini na hujui hapa unachart na nani na ufahamu labda mimi ni rafiki yako kipenzi, acha mawazo ya kupanick na hizi robot za kwenye mtandao, hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kumban mtu asitumie Internet/ JF.
 
yani mbona leo unanichekesha kweli.nilikuwa nimeaga ikabidi nirudi..Hiyo sentensi yako eti mm mnoko siku hizi?
Dah.enewei things changes.
Lakn nipo siriaz..HUFAI kuwa JF MAN of year 2011.Ukitaka sababu nitakuPM.
Wala hata sihitaji sababu kwakuwa najua ni kweli sifai. Hata hivyo inbox yangu iko wazi. Karibu.
 
Now ur talking rafiki.
Pamoja sana !!!(source :Ashadii)
 
yani mbona leo unanichekesha kweli.nilikuwa nimeaga ikabidi nirudi..Hiyo sentensi yako eti mm mnoko siku hizi?
Dah.enewei things changes.
Lakn nipo siriaz..HUFAI kuwa JF MAN of year 2011.Ukitaka sababu nitakuPM.

eeeerrrr!...naomba kopi ya hiyo pm...for transparensi:lol:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…