Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
Zion D ntakushtaki
Umetufukuzia Neiwa wetu.
Teamo, sorry babu mdogo vipi ulifanikiwa japo kuchukua namba ya simu?
...aisee babu -mkagua naona Neiwa kaingia mitini....!
sasa sijui tunafanyeje hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zion D ntakushtaki
Umetufukuzia Neiwa wetu.
Teamo, sorry babu mdogo vipi ulifanikiwa japo kuchukua namba ya simu?
Mimi ni wa hapahapa usipumbazwe na hizi suti mpya nilizovaa, am just telling u the truth usipotoshwe na ile slogan ya we dare to speak openly!!
Huyu Teamo ,sorry babu mdogo huyu.Ahahahaa.Neiwa kakimbia? pole jamani.labda teamo kapewa fesibuku aidii.
Lakin sasa nishajua.kutokana na sifa alizokupa Teamo inabidi tukuundie tume ya TAKUKURU..haiwezekani hapa kutakuwa na harufu ya rushwa ya ukaguzi
hahahah!...
huyo ndo junio sasa....!nae anaitwa G ivo ivo....!
asee usisahau kuniletea raba,suruale na shati ukirudi....!
Siku hizi umekuwa mnoko sanawhat r u insunyueting?Nikuogope wewe au Superman?Na kwa lipi hasa ?Kaka sijui dada...tafadhali usinijengee mazingira ya hofu..If ur dont walk the talk is up to you!.
I will dare to talk. as long as sijavunja sheria.
So hueleweki sijui unaongea nini hapa.chanell hazikamati.
Huyu Teamo ,sorry babu mdogo huyu.
Nimemwachia nafasi kiduchu kampeperusha Neiwa.
Lakini hii yote umesababisha wewe na mapovu yako. Ulivyosema sifai mwenzio akakonkludi kuwa nishakanyaga mawaya...khaa!
I will. And you too darlie. Si wajua navyokumisi lakini?Ahahahaaa.Haya ngoja nisepe ili wajukuu warudi.
Yuko mwingine huko sijui jeiibii ananitishia Ban.Mwambie SIOGOPI!!!!
Take care lakni.
yani mbona leo unanichekesha kweli.nilikuwa nimeaga ikabidi nirudi..Hiyo sentensi yako eti mm mnoko siku hizi?Siku hizi umekuwa mnoko sana
Afu nikuambie kitu? Ukiwa mnoko hata haupendezi.
Mimi niite unavyopenda maana nina jinsia zote, samahani kama nimekukwaza, hapa ni sehemu tu ambayo tunaenjoy fun na kufanya maisha yaendelee, kama ur taking very serious vitu vya kimtandao basi akili yako ina walakini na hujui hapa unachart na nani na ufahamu labda mimi ni rafiki yako kipenzi, acha mawazo ya kupanick na hizi robot za kwenye mtandao, hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kumban mtu asitumie Internet/ JF.what r u insunyueting?Nikuogope wewe au Superman?Na kwa lipi hasa ?Kaka sijui dada...tafadhali usinijengee mazingira ya hofu..If ur dont walk the talk is up to you!.
I will dare to talk. as long as sijavunja sheria.
So hueleweki sijui unaongea nini hapa.chanell hazikamati.
Wala hata sihitaji sababu kwakuwa najua ni kweli sifai. Hata hivyo inbox yangu iko wazi. Karibu.yani mbona leo unanichekesha kweli.nilikuwa nimeaga ikabidi nirudi..Hiyo sentensi yako eti mm mnoko siku hizi?
Dah.enewei things changes.
Lakn nipo siriaz..HUFAI kuwa JF MAN of year 2011.Ukitaka sababu nitakuPM.
Mimi niite unavyopenda maana nina jinsia zote, samahani kama nimekukwaza, hapa ni sehemu tu ambayo tunaenjoy fun na kufanya maisha yaendelee, kama ur taking very serious vitu vya kimtandao basi akili yako ina walakini na hujui hapa unachart na nani na ufahamu labda mimi ni rafiki yako kipenzi, acha mawazo ya kupanick na hizi robot za kwenye mtandao, hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kumban mtu asitumie Internet/ JF.
I will. And you too darlie. Si wajua navyokumisi lakini?
Wala hata sihitaji sababu kwakuwa najua ni kweli sifai. Hata hivyo inbox yangu iko wazi. Karibu.
haya sasa..........!
kwamba na wewe zeeiiidiii ni mjukuu sio???
yani mbona leo unanichekesha kweli.nilikuwa nimeaga ikabidi nirudi..Hiyo sentensi yako eti mm mnoko siku hizi?
Dah.enewei things changes.
Lakn nipo siriaz..HUFAI kuwa JF MAN of year 2011.Ukitaka sababu nitakuPM.
Mie Bibi bana.Hebu nitake radhi!!Kwani Babu huwa anakuwa karibu zaidi na nani?
hehehehehe!eeeerrrr!...naomba kopi ya hiyo pm...for transparensi:lol:
hehehehehe!
Babu mdogo bana.
Subiri na wewe yatakukuta siku moja haya.
eeerrrrrr!....naona hapo swali ni gumu....!
wajukuu watakuja kuandamana humu
Unanionea bure tu,Asprin a.k.a ODM ,aka Babu ...
Hebu dhibitisha hizo tuhuma za maandamano bila kibali.