Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Unanionea bure tu,
Ungemuuliza aliyesema bana!
Usisahau kunifahamisha kwa ajili ya disciplinary measures.Ok.Kumbe wanakuoneaga.now i know.....i will investigate who is behind this...
Hongera kwa ushindi wa kura 29 kati ya JF members 65,931.
Viherehere huwa hawakosekani!!...Kwani jk alipita kwa kura ngapi kati ya watu wangapi? Na mpaka leo ni raisi wako! Wapi weweee! Hongera babu Asprin! Upo juuuuu!
Hahahahaha....... afu leo mbona hujaniPM?Kwani jk alipita kwa kura ngapi kati ya watu wangapi? Na mpaka leo ni raisi wako! Wapi weweee! Hongera babu Asprin! Upo juuuuu!
Wewe utapigwa ban hadi kwenye spare ID ya kutumia unapopigwa BAN for indiscipline kwa main ID yako!Viherehere huwa hawakosekani!!...
Ok.Kumbe wanakuoneaga.now i know.....i will investigate who is behind this...
Viherehere huwa hawakosekani!!...
Kama una ufahamu hata robo wa mambo ya siasa njoo kule jukwaa la siasa, hapa ni MMU. JK ni Rais wa NEC.
Nina ID 20 MWALI NA NINA IP adress 10, wape hii repoti moderators. kama unatamani kazi ya Umoderator sema tukusaidie jinsi ya kuwa moderator.Wewe utapigwa ban hadi kwenye spare ID ya kutumia unapopigwa BAN for indiscipline kwa main ID yako!
Siasa za hapa maigizo sina hata mpango wa kuja huko! Btw.. Kiherehere sunna!
Hahahahaha....... afu leo mbona hujaniPM?
Ndio hapo sasa ninaposhangaa pili pili inaliwa shambani halafu mtu mwingine anajiita Mwali eti yeye ndio inamwasha!!Siasa za hapa maigizo sina hata mpango wa kuja huko! Btw.. Kiherehere sunna!
amaina mbona ulinimwaga arif??....
Hivyo eh? Lakini si unajua siku ikipita bila kupata PM yako huwa presha inapandaga? Kongosho asali ya ODM alishanipaga ruhusa ya kuchat na wewe kwa PM.Kuna ka suprize tunakuandalia sasa nkikuPM katika maongez ntatoa siri bure, kongosho atanimeza! Kanikataza eti.
Sasa siyo nimalizane naye afu badae unakuja kumpeperusha kama Neiwa.kwa sasa malizana na huyu mzee wa wajukuu...!mi nitakuja bidae
hayaaaaNina ID 20 MWALI NA NINA IP adress 10, wape hii repoti moderators. kama unatamani kazi ya Umoderator sema tukusaidie jinsi ya kuwa moderator.
Wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao - By Jakaya Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.hayaaaa