Polls: JF Man Of The Year 2011

Polls: JF Man Of The Year 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Man Of The Year 2011"?

  • BAK - Bubu Ataka Kusema

    Votes: 19 29.7%
  • Aspirin

    Votes: 29 45.3%
  • EMT

    Votes: 16 25.0%

  • Total voters
    64
  • Poll closed .
zeidii apo juu naomba kopi ya hizo piieem...!

well..!it has to be mapema and with an immediate effect...(for transparensi jamani)
 
Kwani jk alipita kwa kura ngapi kati ya watu wangapi? Na mpaka leo ni raisi wako! Wapi weweee! Hongera babu Asprin! Upo juuuuu!
Viherehere huwa hawakosekani!!...
Kama una ufahamu hata robo wa mambo ya siasa njoo kule jukwaa la siasa, hapa ni MMU. JK ni Rais wa NEC.
 
Kwani jk alipita kwa kura ngapi kati ya watu wangapi? Na mpaka leo ni raisi wako! Wapi weweee! Hongera babu Asprin! Upo juuuuu!
Hahahahaha....... afu leo mbona hujaniPM?
 
Wewe utapigwa ban hadi kwenye spare ID ya kutumia unapopigwa BAN for indiscipline kwa main ID yako!
Nina ID 20 MWALI NA NINA IP adress 10, wape hii repoti moderators. kama unatamani kazi ya Umoderator sema tukusaidie jinsi ya kuwa moderator.
 
Siasa za hapa maigizo sina hata mpango wa kuja huko! Btw.. Kiherehere sunna!
Ndio hapo sasa ninaposhangaa pili pili inaliwa shambani halafu mtu mwingine anajiita Mwali eti yeye ndio inamwasha!!
Zion Daughter sasa ndio utaelewa kile nilichokueleza kwenye post za awali, bado kuna watu wana mawazo kwamba eti kuna binadamu mwenye uwezo wa kumpa mtu ban asitumie Internet/ JF.
 
Kuna ka suprize tunakuandalia sasa nkikuPM katika maongez ntatoa siri bure, kongosho atanimeza! Kanikataza eti.
Hivyo eh? Lakini si unajua siku ikipita bila kupata PM yako huwa presha inapandaga? Kongosho asali ya ODM alishanipaga ruhusa ya kuchat na wewe kwa PM.
 
hahahah!....

ngoja nikakule ugali dhen tutarudi chemba
 
kwa sasa malizana na huyu mzee wa wajukuu...!mi nitakuja bidae
 
Back
Top Bottom