khaaaa
Kura yangu imeenda kwa BAK. He's the real deal. Ni mtu very consistent, conscientious, has been around for ages, always low-key na hatafuti sifa, ugomvi, au umaarufu and you'd always know where he stands kwenye masuala muhimu. Big up!
... i voted but sina chuki na yoyote
ASPRIN! ASPRIN! ASPRIN!
Asprin for stress free JF..
Kura yangu kwa EMT
Bak or Aspirin to win,simpendi huyo EMT...he always think other people are stupid/not his level...nenda kule jukwaa ia international uone anavyojipendekeza kwa wakenya.
Rebeca, wote watatu ni washindi.. they have people who like them
- Asprin is by buddy, mate tumekua kitaa, ni mtu wa watu --- ukianza hizo si fair
- EMT ana unique knowledge kwenye sheria na upembuzi wa mambo zaidi ya wengi tu na mtu mzuri sana
- BAK is a special person, always consistent with messages, moderate (unlike some of us) and a very good JF contributor
we piga kura ukimaliza subiri majibu au kukata rufaa kama alivyosema kaizer... i voted but sina chuki na yoyote
Tupo pamoja my swithat!Usijali nalijua hilo,kuna wengi hawataki kutuona tunapendana lol,
Raha ni password ya kule mahala nnayo mwenyewe watajibaje!!
Come this way darling tumpigiea babu kampen,
As u know Asprin for life!!!
wote wakare ila babu asprin zaidi
Vote for Aspirin
Aspirin for stress free JF
Vote for Aspirin
Aspirin for stress free JF