Kutoka JF mpaka BAN?Ukiwa man of Jf natafuta BAN ya lazima ili niondoke JF.
He! Sikujua kumbe weye kibosile. Haya ID yako ya zamani hapa JF ni ipi?Yule ambae ananichanganya ndie hasa anastahili kunielewesha, nikija kwako utanipa kazi ya kuanza kukuelewesha nini hasa unatakiwa kunielewesha.
ID yangu ya fb ya nini kwako? nikikupa itasaidia nini labda? Simu yangu haina haja, anapokea secretary na kama sio ki kazi you can not get thru.
Atabakia kuwa Man Of JF wa Superman competetion na sio Man of Zion Daughter, so tatizo liko wapi?Ukiwa man of Jf natafuta BAN ya lazima ili niondoke JF.
Hivi nani hanywi? Au unauliza kama nakunywa pombe?Do you drink?
Yeah A lot of water. Namjua sana Mwali, ni cousin wa hommie wangu.Do you drink?
Hivi nani hanywi? Au unauliza kama nakunywa pombe?
Yeah A lot of water. Namjua sana Mwali, ni cousin wa hommie wangu.
Ningeomba kujuwa jinsia yako member mwenzangu!Hey mbona you are being too smart? Nishaona sina langu hapa.
He! Sikujua kumbe weye kibosile. Haya ID yako ya zamani hapa JF ni ipi?
Hiyo ni kwako kaka. Mi natumia facebook kukeep in touch na ndugu, jamaa na marafiki tu.Naomba nikupe ushauri wa bure dada yangu, Facebook haina maana yoyote kama marafiki zako ni wale wale mnaokutana sokoni, vyuoni na makazini na makanisani pamoja na misikitini, facebook itakuwa na tija zaidi kwako kama utakuwa unameet na new people everyday, na hapa simaanishi wawe watanzania hapana, unaweza ukaomba friend request na watu tofauti duniani nadhani unahitaji kujifunza mambo mengi kutoka kwa watu tofauti, na sio friend list yako ijae watu wote kutoka Manzese. hapana dada.
Nimekubali kutokukubaliana, niko Stockholm Sweden muda huu nikiwa nabofya hii keybord kwa my facebook friend.Hiyo ni kwako kaka. Mi natumia facebook kukeep in touch na ndugu, jamaa na marafiki tu.
New connections ni kupitia Twitter na LinkedIn, ndio imekaa professional zaidi.
Uzuri wa haya mambo ni kwamba you are right, and I am right too, kila mtu katika reality yake.
Ningeomba kujuwa jinsia yako member mwenzangu!
No matter, it was just a question.Female. What is the matter?
Nami ningependa kujua jina lako halisi member mwenzangu.Female. What is the matter?
ID moja inatosha ila mwandiko wako kama nlishauonaga hapa siku nyingi sana. Nikahisi umebadili ID.Hivi inatakiwa niwe na ID ya zamani? kama sina inakuaje?
Nami ningependa kujua jina lako halisi member mwenzangu.
ID moja inatosha ila mwandiko wako kama nlishauonaga hapa siku nyingi sana. Nikahisi umebadili ID.
Mimi ni standard seven Graduate naomba uniulize swali lako kwa lugha ya Taifa, sina umahili sana kwenye hii lugha ya kikoloni.Prompted by what exactly?
Ukiwa man of Jf natafuta BAN ya lazima ili niondoke JF.
Hahahahahaha ha ha ha ha ha ha ha!..............!
mpaka machozi