Polls: JF Man Of The Year 2011

Polls: JF Man Of The Year 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Man Of The Year 2011"?

  • BAK - Bubu Ataka Kusema

    Votes: 19 29.7%
  • Aspirin

    Votes: 29 45.3%
  • EMT

    Votes: 16 25.0%

  • Total voters
    64
  • Poll closed .
Ukiwa man of Jf natafuta BAN ya lazima ili niondoke JF.
Kutoka JF mpaka BAN?

Yule ambae ananichanganya ndie hasa anastahili kunielewesha, nikija kwako utanipa kazi ya kuanza kukuelewesha nini hasa unatakiwa kunielewesha.
ID yangu ya fb ya nini kwako? nikikupa itasaidia nini labda? Simu yangu haina haja, anapokea secretary na kama sio ki kazi you can not get thru.
He! Sikujua kumbe weye kibosile. Haya ID yako ya zamani hapa JF ni ipi?
 
Naomba nikupe ushauri wa bure dada yangu, Facebook haina maana yoyote kama marafiki zako ni wale wale mnaokutana sokoni, vyuoni na makazini na makanisani pamoja na misikitini, facebook itakuwa na tija zaidi kwako kama utakuwa unameet na new people everyday, na hapa simaanishi wawe watanzania hapana, unaweza ukaomba friend request na watu tofauti duniani nadhani unahitaji kujifunza mambo mengi kutoka kwa watu tofauti, na sio friend list yako ijae watu wote kutoka Manzese. hapana dada.
Hiyo ni kwako kaka. Mi natumia facebook kukeep in touch na ndugu, jamaa na marafiki tu.
New connections ni kupitia Twitter na LinkedIn, ndio imekaa professional zaidi.
Uzuri wa haya mambo ni kwamba you are right, and I am right too, kila mtu katika reality yake.
 
Hiyo ni kwako kaka. Mi natumia facebook kukeep in touch na ndugu, jamaa na marafiki tu.
New connections ni kupitia Twitter na LinkedIn, ndio imekaa professional zaidi.
Uzuri wa haya mambo ni kwamba you are right, and I am right too, kila mtu katika reality yake.
Nimekubali kutokukubaliana, niko Stockholm Sweden muda huu nikiwa nabofya hii keybord kwa my facebook friend.
Nadhani wewe huna hata sababu ya kuwa na simu ya mkononi.
 
Hivi inatakiwa niwe na ID ya zamani? kama sina inakuaje?
ID moja inatosha ila mwandiko wako kama nlishauonaga hapa siku nyingi sana. Nikahisi umebadili ID.
 
Back
Top Bottom