Polls: JF Woman Of The Year 2011

Polls: JF Woman Of The Year 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Woman Of The Year 2011"?

  • AshaDii

    Votes: 68 80.0%
  • FaizaFox

    Votes: 17 20.0%

  • Total voters
    85
  • Poll closed .
aiseee superman ulisema mwanzo wanatakiwa kuwa nominated ni wale wasio na ban halafu umemweka FF au ndio kama kina kilavu nini wa NEC..

Duuh! Hapa nimeingizwa choo cha kike. Sikujua hilo. Tume itaketi. Asante kwa observation.
 
aiseee superman ulisema mwanzo wanatakiwa kuwa nominated ni wale wasio na ban halafu umemweka FF au ndio kama kina kilavu nini wa NEC..

This is an insult kwa wadada wanao jiheshimu humu.
Mtu kala life ban afu anatakiwa apigiwe kura?
What an execuse,..............
 
There are currently 4 users browsing this thread. (2 members and 2 guests)




Orait.....
:A S-coffee:
 
Hahahaha Si AshaDii is Married to kaizer

what happened to Mwali...ile vita umeshinwa? mi ninasubiri mahari, mara signature "so lonely' lol
hawa watoto wa dotcom wameniharibia pale bana.nilikuwa nimeshaandaa hadi mahari
 
Haki ya nani wewe superman una matatizo...!!

Yaani unatembeza uchakachuaji wa wazi wazi zaidi ya CCM??


Nimekuvulia kofia,

Babu DC!!
 
Hahahaha Si AshaDii is Married to kaizer

what happened to Mwali...ile vita umeshinwa? mi ninasubiri mahari, mara signature "so lonely' lol

Mwali ndege mnana huyo......nashangaa nyie kumkabidhi mkoma lol!!! Alafu sweetie wako mbona kimya sana?
 
Jamani mi naomba nibadili timu hapa

Naona mchezo hapa unakosa ladha sababu huyu bibi kapewa ban japo watu walimpendekeza
Hawezi jipigia kampeni

From now, I will back up FF
 
Woman of the year for Faiza Foxy


Anastahili kuwa Woman of the year sababu 'she is real, Down to earth, anatetea analoamini, hamung'unyi maneno'.

Kwa masuala ya kisiasa yuko mbele, mambo ya mahusiano full mapoint.

FF for Real People, Vote FF
View attachment 48659 View attachment 48660
 
Damn,where did FF come from?
This is a poor execuse for JF woman of the year.
Zoezi zima la shindano hili limejaa ubabaishaji, lakini simaanishi kwamba AshaDii hastairi tuzo hii. AshaDii she is perfect for this, lakini category zingine nitazipinga milele ni ubabaishaji uliotukuka.
 
Back
Top Bottom