Polls: Queen of MMU 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Queen of MMU 2011"?

  • Lizzy

    Votes: 28 37.8%
  • AshaDii

    Votes: 46 62.2%

  • Total voters
    74
  • Poll closed .


Una haki kabisa ya kunifananisha na huyo Mwanasiasa..... Najua you are not happy with my decision na kubadilisha maamuzi kuhusu kura yako. Nikichukulia hicho hicho kipengele cha Uongozi.... Uongozi is not about kua na majina na vyeo vingi.... Uongozi is more about kusimamia na kuweza kuwepo kwa ajili ya wale ulowakilisha. Kuvua kwangu hio nafais haina maana nawakataa wale walo nichagua.... Lah! More so nawafikiria wao kua ili niweze tumikia vema nafasi yangu kama Kiongozi wa cheo kimoja, kingine nimpe yule ambae ni among the very best na naamini kabisa kua aweza wakilisha vile mtakavo ingawa bado hamna imani nae.

Platozoom dear... Uliponichagua hukuchagua jina tu.... Ulichagua the whole of me na what I stand for... kwa maneno mengine ni kwamba kwa kiasi fulani waniamini. NAKUMBA ile Imani ulio nayo juu yangu Iendelee kusimama na uamini pia kua huu uamuzi nilochukua is for the best pia.... Na kwamba what ever that position stands for... Daima I will stand for it hata kama I no longer am labeled by the title....

Nisamehe saana dear... Ila I really hope umenipata.... Again, naomba mtambue SIJADHARAU Jamani.... I am Sooo humbled kwa muitikio wenu that it is touching..
 

Unajua kutema asali wewe....hapo nyumbani kuna mdoogo wako kabaki? nataka kuchukua jumla sitaki hata kuchunguza.

Lakini uongozi ni mzigo ukipewa beba..kwa sababu watu wanaamini unaweza, hata majibu yako yanonyesha hivyo japo sikubaliani nayo yote...niambie kiongozi gani Dunia hii asiyekuwa na nafasi zaidi ya moja halafu sitakusakama. Ila usisahau ombi langu eeh..
 


Ni mmoja wa watu ambao hua sikatai majukumu..... Sisemi kujitetea, sisemi kujisifia ila ndio ukweli kama ulivo. Sometimes maamuzi mengine ya viongozi hua more out of selfishness.... Liangalie saana hili suala kwa undani... free of anger and Prejudice.... you will understand. Kama ni any case ningeona dhamana nilopewa mimi pekee naweza fanya na Mwingine hawezi wakilisha.... Then and only then nisingevua. I trust Lizzy and she deserves it too... na that is why I am doing this...

Swali lako la kiongozi gani asie na nafasi zaidi ya moja..... Nakubaliana na wewe, ila naomba nijibu... Wanawakilisha nafasi zao ipasavo? Are they not overloaded?

Wadogo nyumbani hawakosi kabisa.... Tumemuoza Cantalista hapa juzi (Infact Rejao kambeba juu kwa juu) na uliza CV ya binti zangu kwa Rejao atakupa jibu maana hapa mimi utaona nafagilia tu...lol
 

Thank you AshaDii

Ili mradi umeyaandika haya kabla shindano halijamalizika, Kamati ya Uchaguzi ya JF - JEC itakaa na kupitia ombi lako. Tuakupa jibu la Kamati kufuatana na Sheria, kanuni na taratibu za Uchaguzi.

Superman
Mwenyekiti - JEC

 



Hilo tu (red) limekuokoa kutoka kwenye tanuri la lawama....

Maneno mengi hayajengi ghorofa na hili ni ombi langu la mwisho.."Vibwaya..viweke gharani ili siku ya mwisho tukacheze ngoma yetu wanayoiita ya kishenzi...Visima vya kale havifukiwi mama mkwe.Ila usije ukabadilisha maamuzi wakati wa mchakato wa kumchukua binti maana jasiri haachi asili.Nakusalimia Queen of MMU/ women of JF.
 
AshaDii, umetudharau tuliokupa kura zetu, yaani watu tumekuheshimu wewe umeonesha kuzikataa na kuzitupilia mbali kura na hisia za wana MMU waliokupa hii heshimu...

Nadhani AshaDii ameonyesha upeo wa hali ya juu na upendo wa ajabu wa JF.

Naweza kusema ni mfano wa kuigwa. Si mbinafsi. Hakuona haja ya kujirundikia titles kama wengi wafanyavyo. nadhani ametumia haki yake na mimi binafsi (si kamati) nampongeza sana.
 


Dah!!! In blue..... Naomba tu niseme Speechless..... Na niongeze la MUHIMU... Asante kwa kunielewa Rafiki na kunitoa tanuri la lawama.... Hizo salamu nimezipokea kwa mikono miwili with Love.....
 
Ashadii.. Nakupenda sana dada yangu..



Leonard.... Huwezi amini kua nimetoka Complaints sasa hivi, nikaona umepost ukorofi wako pale nikacheka... Nikataka nikusalimu nikaangalia mda nikaona umepost 15 na upuuzi nikajua hauko online... Mzima wewe??

I am humbled kwa kunipenda dear... mie nakukubali pia na wajua wapi hasa tulitoka hadi tukafika hapa...:eyebrows:
 
Kwa sababu ni mkwe wangu..mimi najificha nisisome hapo!



hahahaha..... Hujaona kasema dadangu? Ina maana nae mkweo huyo....lol...
Acha woga wa kufikir Mkwe wako i have eyes more than for my Man....
 

Tume ya Uchaguzi ya JEC imepitia maombi zako ulizotoa za kutaka kuenguliwa kuwa Mgombea. Kwa kuwa ulijitoka kabla ya shindano kufungwa na kwa kuwa haki ya kugombea au kutogombea ni ya kikatiba, tume imeamua yafuatayo:


  1. Kukubali Ombi lako rasmi na hivyo kukuengea katika shindano
  2. Tume inashauri katika mashindano ya Mbeleni wale wote wenye nia ya kujitoa wafanye hivyo mapema ili mshindani mbadala aweze kuwekwa katika ushindani
  3. Tume inakupongeza kwa kutumia haki yako ya Kidemokrasia

Wasalaam

Signed & Sealed:


Superman
Chairman - JEC
 

Tume ya Uchaguzi ya JEC imepitia maombi zako ulizotoa za kutaka kuenguliwa kuwa Mgombea. Kwa kuwa ulijitoka kabla ya shindano kufungwa na kwa kuwa haki ya kugombea au kutogombea ni ya kikatiba, tume imeamua yafuatayo:


  1. Kukubali Ombi lako rasmi na hivyo kukuengea katika shindano
  2. Tume inashauri katika mashindano ya Mbeleni wale wote wenye nia ya kujitoa wafanye hivyo mapema ili mshindani mbadala aweze kuwekwa katika ushindani
  3. Tume inakupongeza kwa kutumia haki yako ya Kidemokrasia

Wasalaam

Signed & Sealed:


Superman
Chairman - JEC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…