AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
Vigezo na masharti kuzingatiwa..hii imenikumbusha mgombea mmoja wa jimbo la ulanga magharibi (CDM, i will be corrected) Alivyotokomea siku ya kurudisha fomu NEC huku akiwa anategemewa kuchukua jimbo kama angeshiriki uchaguzi.
Ashadii yeye amegoma kuchukua "jimbo" huku tayari kura zimeshapigwa....Kwamba nani amekupa jeuri ya kumpa mtu mwingine kura yangu bila mimi kukuruhusu...Ulipaswa kunishawishi kumpa mtu mwingine kura kabla sijaingia kwenye chumba cha kupigia kura.
Nashindwa kukutofautisha na huyo mwanasiasa!!
Una haki kabisa ya kunifananisha na huyo Mwanasiasa..... Najua you are not happy with my decision na kubadilisha maamuzi kuhusu kura yako. Nikichukulia hicho hicho kipengele cha Uongozi.... Uongozi is not about kua na majina na vyeo vingi.... Uongozi is more about kusimamia na kuweza kuwepo kwa ajili ya wale ulowakilisha. Kuvua kwangu hio nafais haina maana nawakataa wale walo nichagua.... Lah! More so nawafikiria wao kua ili niweze tumikia vema nafasi yangu kama Kiongozi wa cheo kimoja, kingine nimpe yule ambae ni among the very best na naamini kabisa kua aweza wakilisha vile mtakavo ingawa bado hamna imani nae.
Platozoom dear... Uliponichagua hukuchagua jina tu.... Ulichagua the whole of me na what I stand for... kwa maneno mengine ni kwamba kwa kiasi fulani waniamini. NAKUMBA ile Imani ulio nayo juu yangu Iendelee kusimama na uamini pia kua huu uamuzi nilochukua is for the best pia.... Na kwamba what ever that position stands for... Daima I will stand for it hata kama I no longer am labeled by the title....
Nisamehe saana dear... Ila I really hope umenipata.... Again, naomba mtambue SIJADHARAU Jamani.... I am Sooo humbled kwa muitikio wenu that it is touching..