Polonium210 has killed him

Hawa vichwa maji wakipewa hii sumu inawadhuru wenyewe kabla ya adui wao..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There are no any medical treatment to a person that has inhaled or drunk polonium210.
And it's life duration can't exceed 138 days since the victim has taken the poison depending on the amount taken.
Kwa vile aliumwa kwa kipindi cha zaidi ya muda huo, please acheni hizi conspiracy theories za uongo.

Uhai umeumbwa, na kifo pia kimeumbwa. Siku mtu unazaliwa, siku hiyo kifo chako pia kinakuwa kimepangwa na mpangaji ni Mungu.
P.
 
Kwa vile aliumwa kwa kipindi cha zaidi ya muda huo, please acheni hizi conspiracy theories za uongo.

Uhai umeumbwa, na kifo pia kimeumbwa. Siku mtu unazaliwa, siku hiyo kifo chako pia kinakuwa kimepangwa na mpangaji ni Mungu.
P.
It depends on the amount of poison given to the victim to determine his life duration

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Son drink water hivi unaielewa sumu uliyotaja au ume google tu ukaleta hapa kufurahisha watu?

Sumu hiyo unaielewa vizuri lakin na upatikanaji wake?

Hebu fanya assignment juu ya hilo alafu edit uzi wako,

Jf ina waelewa na wasomi wengi, ambao si wanaokubali mambo bila reasoning
 
Rafiki yangu Mganda walizaliwa wanne kwao. Wazazi wote walikuwa na mafanikio mazuri kwenye taaluma zao na watoto walisoma English medium. Watoto wao wote nao wamefanikiwa vizuri ki maisha.

Watoto waliamua kuwa wanapeleka nyumbani milioni moja kwa mwezi bila kujali pensheni ya wazazi. Ingawa wazazi ni wastaafu walimudu maisha vizuri ndani ya ghorofa lao.

Waliajiri house girl, dada wa 30+ na alipewa guest wing akae.

Mama aliamua kurudi kwenye kazi yake akiwa mwajiriwa wa hospitali ya kanisa part time ili kuchangamsha mwili na akili. Kumbe Baba alianza ku chum chum dada na kumpa vijihela vyake vya pension. Dada alianza kujenga nyumba kwao. Aliponogewa na penzi alitafuta sumu akamuekea mama kwenye chai. Nayo ilikuwa slow killer.
 
Wamechoka uzushi sasa wanasingizia..walaaniwe nyau hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…