Polysistic Ovarian Syndrome: Kwa mwanamke anayetafuta mtoto

Ask me

Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
27
Reaction score
14
Habari wana JF,

Kwa mwanamke ambaye hajawai kupata mimba kabisa,siku zake za hedhi hazina mpangilio maalumu na amegundulika kitaalamu ana Polysistic ovarian syndome(vivimbe vidogo vidogo kwenye ovaries).

Je anaweza kufanyaje ili apate mimba haraka?Hospitali wanampa dawa ila tatizo bado liko pale pale, kwa sasa anatibiwa mkoani Arusha ila anatamani sana kupata ata tiba mbadala kwa ajili ya kuweza kupata ujauzito ndoa iko mashakani.

Na pia chakula gani anaweza kula kufanya awe na uwezo mkubwa wa kuweza kupata ujauzito?

Asanteni
 
Habari wana JF,
Kwa mwanamke ambaye hajawai kupata mimba kabisa,siku zake za hedhi hazina mpangilio maalumu na amegundulika kitaalamu ana Polysistic ovarian syndome(vivimbe vidogo vidogo kwenye ovaries).Je anaweza kufanyaje ili apate mimba haraka??Hospitali wanampa dawa ila tatizo bado liko pale pale..kwa sasa anatibiwa mkoani arusha ila anatamani sana kupata ata tiba mbadala kwa ajili ya kuweza kupata ujauzito ndoa iko mashakani.....
Na pia chakula gani anaweza kula kufanya awe na uwezo mkubwa wa kuweza kupata ujauzito??Asanteni

Kwa hilo jina lako nilitegemea wewe ndio utupe majibu ya hilo tatizo!! any way ngoja wataalam waje kutusaidia wote!
 
atumia dawa za asili za herbal clinics mfano pale kwa dokta Mwaka.
 
Hajawahi kutumia dawa za uzazi ila ana Mtoto mmoja salsa habebi mbimba ni mwaka wa 12 sasa
 
huyo tatzo lake lakutopata mimba linafahamika naomba atumie dawa zifuatazo cefalexin 1g start aendelee na 500mg ×3×14 predinisolen 20mg×2 sku 7 aendelee 10mg ×2 siku7 '5mg mala moja kutwa kwa siku saba flagly 400mg mala tatu kwa siku14 baada ya haapo akafanye uss
 
Asante bruno twemanye...
Je naweza pata ufafanuzi wa kazi za hizo dawa??? Namaanisha maelezo ya kila dawa inatibu nini
 
....hata kiswahili hujui sasa unamshauri mtu mambo ya Afya kweli?
 
Asante bruno twemanye...
Je naweza pata ufafanuzi wa kazi za hizo dawa??? Namaanisha maelezo ya kila dawa inatibu nini

Usikubali kubugia midawa ovyo kwa kushauriwa na watu wa mitandaoni ambao hata wasifu wao huujui, nenda hospitali!!!
 
Habari wana JF,

Kwa mwanamke ambaye hajawai kupata mimba kabisa,siku zake za hedhi hazina mpangilio maalumu na amegundulika kitaalamu ana Polysistic ovarian syndome(vivimbe vidogo vidogo kwenye ovaries).

Je anaweza kufanyaje ili apate mimba haraka?Hospitali wanampa dawa ila tatizo bado liko pale pale, kwa sasa anatibiwa mkoani Arusha ila anatamani sana kupata ata tiba mbadala kwa ajili ya kuweza kupata ujauzito ndoa iko mashakani.

Na pia chakula gani anaweza kula kufanya awe na uwezo mkubwa wa kuweza kupata ujauzito?

Asanteni

Mwambie anitafute ndani ya mwezi ujauzito utapatikana..kama upo serious tu.
 
Hornet kama ni kweli unachosema naomba uni PM maana hili swala ni serious kwakweli
 
Last edited by a moderator:
Nimekutumia Pm Ask me

Dawa za asili au za kemikali. Kuna dada yangu ana tatizo kama hili anatia huruma. Kishafanyiwa mpaka opereshen lakini hola. Mwanae pekee sasa ana miaka 14
 
Last edited by a moderator:
Dawa za asili au za kemikali. Kuna dada yangu ana tatizo kama hili anatia huruma. Kishafanyiwa mpaka opereshen lakini hola. Mwanae pekee sasa ana miaka 14

Asili @Aspirin nilifundishwa na bibi yake mama kabla hajafa alikua anatibu hukoooo madongo kuinama
 
Haya twende PM ukanipe maujanja nimkomboe huyu mwanamke mwenzio
 
Asante bruno twemanye...
Je naweza pata ufafanuzi wa kazi za hizo dawa??? Namaanisha maelezo ya kila dawa inatibu nini

we ndo mwenye tatizo sema ukweli. muombe mungu pia huku ukitumia dawa
 
Back
Top Bottom