Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiataka dawa za kutibu Maradhi yake kwa kutumia Utibabu wa Tiba Mbadala bila ya kufanya Operesheni Dawa mimi ninazo anaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.MawasilianoHabari wana JF,
Kwa mwanamke ambaye hajawai kupata mimba kabisa,siku zake za hedhi hazina mpangilio maalumu na amegundulika kitaalamu ana Polysistic ovarian syndome(vivimbe vidogo vidogo kwenye ovaries).
Je anaweza kufanyaje ili apate mimba haraka?Hospitali wanampa dawa ila tatizo bado liko pale pale, kwa sasa anatibiwa mkoani Arusha ila anatamani sana kupata ata tiba mbadala kwa ajili ya kuweza kupata ujauzito ndoa iko mashakani.
Na pia chakula gani anaweza kula kufanya awe na uwezo mkubwa wa kuweza kupata ujauzito?
Asanteni
Samahan kidogo, pcos ni nn vile?