Pombe Hizi

Pombe Hizi

winston20

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2020
Posts
1,116
Reaction score
2,303
Pombe sio supu,cheki hawa..!!

Jamaa wawili walikuwa wanakunywa Bar wakaanza kuongea:-

Jamaa1: Unajua mzee wangu ni Polisi?
Jamaa 2: Weee kweli!? Hata mimi mzee wangu ni Polisi!

Jamaa 1: John is my last name.
Jamaa 2: (Akashangaa): Wow! Hata mimi My surname ni John!.

Jamaa 1: I'm 19 years old
Jamaa 2: What?. Usiniambie aisee!
(Akicheeka), I'm 19 years old too.

Jamaa 1: Usiniambie umezaliwa on the 13th of March na ukasoma Songea boyz?.
Jamaa 2: Yes! Nimezaliwa. 13th of March... Usiniambie naota maana nimesoma Songea Boy.

** Wakakumbatiana na huku wakilia...

Jamaa mmoja akashangaa sana akamuuliza mhudumu:-
"Kuna tatizo gani na hawa vijana?"

Mhudumu: "Hawa ni watoto wa Afande John, ni mapacha sema wamelewa sana!".
FB_IMG_16274544580086148.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
deed5ff644655f7b99ba1ff6559532f0.jpg
 
Back
Top Bottom