moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,151
- 2,979
Mkuu vp.? Hukupata Yokozuna kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo yako mkuuInaendelea......
Basi bwana, wakati ananiuliza yule dada akaja jamaa mmoja mrefu huku macho yake yanatoa kama mwanga fulani hivi.
Wakaanza kuulizana kwanini wameniweka tu pale badala ya kuita vijana waanze kunipelekea moto. Dada huyo akatoa ishara fulani yule mbwa akaniongoza hadi kwenye chumba ambamo kuna njemba 5.
Kilichofuata........
sawa ila mwenzenu yamenikuta soon nitawaletea picha moja ya huyo mdada ila nataman kuiweka sema haina maadil mdada alikuwa mtupuUONGO
UONGO
HUO NI UONGO BWANA
kabla sijatekwa na hayo majini nilikuwa nimekunywa zile pombe za bei ghali ambayo chupa kimoja ni laki na nusu nje ya chupa wamemchora jamaa kashika brifucase sasa sijajua bei gan?Ulikunywa pombe gani mkuu?
Niende moja kwa moja kwenye mada.....
Basi miezi mitatu iliyopita nilikuwa nimechelewa kurudi nyumbani, yote sababu nilipitia sehemu kwaajili ya kupata moja baridi, nilivyofika bar nikaagiza kinywaji, nikakipiga Na kuanza kurudi home hapo ni kama saa tatu, hivi usiku nikiwa zangu kwa miguu sina hili wala lile, nafika pacha moja hivi.
Ghafula mwili wangu ukahisi hatari, nywele zikiwa zinasisimka na hapo ndipo woga ulipoanza kunitawala, nikajikuta nakimbia pasipokujua nini kinanikimbiza, cha kushangaza ile nakimbia ukapita upepo mmoja hivi mkali, nikajikuta nipo kwenye kundi la watu huku nimebebwa juu juu na watu kama wa nne hivi, ni warefu, kama futi 30 hivi kupanda hewani, rangi zao ni kijani wengine ni wekundu, basi ikawa napelekwa kwenye chumba maalumu na kufungiwa humo, nikiwa nimeketi katika lijumba hilo, akatokea mbwa akatoa ishara kama ya kuniuliza kitu kwa lugha ya kishetani, ninavyosema ya kishetani naweza nisieleweke ila ndio hivyo, ni lugha ambayo sijawah isikia dunian toka nizaliwe.
Basi yule mbwa kwakweli sikumuelewa japo alikuwa akiongea, kwa lugha ile, ila nikaja kujua kumbe viumbe vyote vya humo ndani wanaongea vile, basi akatokea, mdada mmoja hivi, akawa amenisogelea, akawa ameketi, ile kuketi kwake na ule urefu wake, ikawa kama niliposimama namfikia kwenye manyonyo yake, basi na yeye akawa ametoa ishara za kuniuliza, kauliza ya kwanza, kauliza ya pili, kauliza ya tatu kwa hasira.
Ila sasa mimi sielewi basi, akawa ameniwekea mkono kichwani kwangu, hapo ndipo nikaanza kusikia kwa lugha yao, nikajibu kwa kiswahili ila nikajikuta kama sauti inayotoka ni kama ya kwao, niliulizwa hivi patwapotasa makisamaleku? Akiwa na maana kwanini unapita eneo lile ukiwa umelewa? Na ni kila siku, nikajibu kwa kikwetu, kumbe kila lugha utayoongea wewe wao wanaelewa, nilikuja gundua hili baada ya kubadili, kuongea lugha tano pale, na lengo langu nisieleweke, ili wajue sijui kinachoendelea kumbuka toka aniwekee mkono kichwan ndipo wao nilikuwa nawaelewa.
pombe nilikunywa miez tatu uliyopita stori naleta leo na nilipigiwa marufukuPombe hazijakuisha,tulia Kwanza zikate ndo upost uzi
kabla sijatekwa na hayo majini nilikuwa nimekunywa zile pombe za bei ghali ambayo chupa kimoja ni laki na nusu nje ya chupa wamemchora jamaa kashika brifucase sasa sijajua bei gan?
tuheshimiane kidogoUmekagua huko Buza kama kupo kuzima? Maana najua ni fikra pombe tu.
tuheshimiane kidogo
Nitumie PMsawa ila mwenzenu yamenikuta soon nitawaletea picha moja ya huyo mdada ila nataman kuiweka sema haina maadil mdada alikuwa mtupu
mkuu najichanganya kivipi umeuliza nimejibu kulingana na swaliJanja mbona unajikoroga tena,
[emoji23][emoji23]Niende moja kwa moja kwenye mada.....
Basi miezi mitatu iliyopita nilikuwa nimechelewa kurudi nyumbani, yote sababu nilipitia sehemu kwaajili ya kupata moja baridi, nilivyofika bar nikaagiza kinywaji, nikakipiga Na kuanza kurudi home hapo ni kama saa tatu, hivi usiku nikiwa zangu kwa miguu sina hili wala lile, nafika pacha moja hivi.
Ghafula mwili wangu ukahisi hatari, nywele zikiwa zinasisimka na hapo ndipo woga ulipoanza kunitawala, nikajikuta nakimbia pasipokujua nini kinanikimbiza, cha kushangaza ile nakimbia ukapita upepo mmoja hivi mkali, nikajikuta nipo kwenye kundi la watu huku nimebebwa juu juu na watu kama wa nne hivi, ni warefu, kama futi 30 hivi kupanda hewani, rangi zao ni kijani wengine ni wekundu, basi ikawa napelekwa kwenye chumba maalumu na kufungiwa humo, nikiwa nimeketi katika lijumba hilo, akatokea mbwa akatoa ishara kama ya kuniuliza kitu kwa lugha ya kishetani, ninavyosema ya kishetani naweza nisieleweke ila ndio hivyo, ni lugha ambayo sijawah isikia dunian toka nizaliwe.
Basi yule mbwa kwakweli sikumuelewa japo alikuwa akiongea, kwa lugha ile, ila nikaja kujua kumbe viumbe vyote vya humo ndani wanaongea vile, basi akatokea, mdada mmoja hivi, akawa amenisogelea, akawa ameketi, ile kuketi kwake na ule urefu wake, ikawa kama niliposimama namfikia kwenye manyonyo yake, basi na yeye akawa ametoa ishara za kuniuliza, kauliza ya kwanza, kauliza ya pili, kauliza ya tatu kwa hasira.
Ila sasa mimi sielewi basi, akawa ameniwekea mkono kichwani kwangu, hapo ndipo nikaanza kusikia kwa lugha yao, nikajibu kwa kiswahili ila nikajikuta kama sauti inayotoka ni kama ya kwao, niliulizwa hivi patwapotasa makisamaleku? Akiwa na maana kwanini unapita eneo lile ukiwa umelewa? Na ni kila siku, nikajibu kwa kikwetu, kumbe kila lugha utayoongea wewe wao wanaelewa, nilikuja gundua hili baada ya kubadili, kuongea lugha tano pale, na lengo langu nisieleweke, ili wajue sijui kinachoendelea kumbuka toka aniwekee mkono kichwan ndipo wao nilikuwa nawaelewa.
mnataka niendelee na stori au mnanisimanga kwanza?Unapiga Balimi na tumboni hauna msingi??!! Ni lazima yakukute yaliyokukuta
mkuu najichanganya kivipi umeuliza nimejibu kulingana na swali
Tushajua kilichoendelea baada ya jini wa kike kukuachia.. mmoja kasema apo juu eti ulitupiwa chumba kina njemba 5 😂😂mnataka niendelee na stori au mnanisimanga kwanza?