Pombe iliponikutanisha na falme za kijini

hiyo yako mkuu
 
Ulikunywa pombe gani mkuu?
kabla sijatekwa na hayo majini nilikuwa nimekunywa zile pombe za bei ghali ambayo chupa kimoja ni laki na nusu nje ya chupa wamemchora jamaa kashika brifucase sasa sijajua bei gan?
 
Umekagua huko Buza kama kupo kuzima? Maana najua ni fikra pombe tu.
 
kabla sijatekwa na hayo majini nilikuwa nimekunywa zile pombe za bei ghali ambayo chupa kimoja ni laki na nusu nje ya chupa wamemchora jamaa kashika brifucase sasa sijajua bei gan?

Janja mbona unajikoroga tena,
 
Unapiga Balimi na tumboni hauna msingi??!! Ni lazima yakukute yaliyokukuta
 
[emoji23][emoji23]
 
Unafanya masiala na pombeni nn.... siku utajikuta umeingia ndani ya mwili wa mwanamke. Hilo lilikuwa onyo
 
mnataka niendelee na stori au mnanisimanga kwanza?
Tushajua kilichoendelea baada ya jini wa kike kukuachia.. mmoja kasema apo juu eti ulitupiwa chumba kina njemba 5 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…