Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Nimetafakari mengi kuhusu pombeSijakusoma
[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]Nimetafakari mengi kuhusu pombe
Pombe ukinywa kwa wingi huwa inafifisha kusambaa kwa kwa damu mwilini matokeo yake huwa inakuwa ngumu kwa dushe kusiamama vizuri.
Watu wengi hawatambui hili matokeo yake hudhania kuwa wamerogwa na kujikuta wakihangaika hovyo huku wenzi wao wakitafuta njia mbadala.
Pombe sio nzuri kwa afya japokuwa imekuwa kama ndio mbadala wa kutoa kampani kwa watu wenye mawazo.
Huyu awaulize Wanawake waliowahi kukutana na wanywa K-vant.Walevi ndo wapiga shoo kali! Usiombe mkeo akakutana na mnywa K Vant/ Konyagi
Nakupinga vikaliPombe ukinywa kwa wingi huwa inafifisha kusambaa kwa kwa damu mwilini matokeo yake huwa inakuwa ngumu kwa dushe kusiamama vizuri.
Watu wengi hawatambui hili matokeo yake hudhania kuwa wamerogwa na kujikuta wakihangaika hovyo huku wenzi wao wakitafuta njia mbadala.
Pombe sio nzuri kwa afya japokuwa imekuwa kama ndio mbadala wa kutoa kampani kwa watu wenye mawazo.
Sasa unapigaje shoo bila dude kusimama?Ishu sio kupiga shoo. Ishu ni dude kusimama.