REFA WA JF
Senior Member
- Jul 26, 2026
- 141
- 317
taanyu penyo pairoh engutuk lo swahiliniJambo gani?
Kwa nini uache mkuu.Nakumbuka mara ya kwanza kunywa pombe 97 , zilikuwa zinaitwa power one.
Mpaka leo sijawahi acha ila sijawahi lewa maana sinywi kuzidi kiasi .
Ila soon naacha aisee!
Payroll haijasoma bdo ningekupa afu kumi ๐คฃWanjo ni wa kirua kilema , wamarangu , na mwika
Wa vunjo wote wana wakilishwa na Watu wa mwika , hao wengine ni sifa tu๐Payroll haijasoma bdo ningekupa afu kumi ๐คฃ
Hv umekaa rombo? Sasa wanavyo jiita sisi ni wa marangu sasa mtu wa kirua anakuwa je wa marangu,
Nilimwambia jamaa mmoja kule rombo kwetu, watu wa mwika mpk kirua tunawaita mwanjo/waanjo ananibishia msee ๐คฃ
Unawaogopea nini?Bwashee marangu nawakalisha japo sio mmarangu nawanaogopa๐
Kwann wa mwika ๐Wa vunjo wote wana wakilishwa na Watu wa mwika , hao wengine ni sifa tu๐
Yep brother.......Nimechunguza kwa vunjo ndio mzizi wa kila kitu
Marangu kelele mingi na majivuno km wa-ha-yaYeah wavunjo wengi wenye pesa mjini wapo mwika na sio marangu , marangu zamani na mdomo tu
Hatare sana hao waanjo wako chonjo na warombo wasije lizwa ๐Hahhahaha watu wanakimbiza mwizi kimya kimya , sifa zetu rombo na kibosho ni pombe tu ๐
Ewaaah warombo wanajifanya hawajui lolote..... Ila anakumaliza kimya kimya eeh hao wanaujua mzk wa mrombo kazii yeye na kazi ๐คฃNa warombo wanajifanya wajinga , sema wanjo washtuka siku hizi wanawapa umuhimu sana๐