Pombe ina maajabu yake, punguza usiache

Tape measure

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,981
Reaction score
3,604
Pombe ndio kila kitu usibishe kama wewe hutumii pombe.

Nimewahi acha pombe nakwambia nilifulia ajabu
Sasa nakunywa pombe a.k.a bia a.k.a lager a.k.a kitwanga nazishika noti hatare iga ukome.

Sijawahi kushauri mtu asietumia kileo kunywa bia pia sijawah kumwambia mnywaji wa pombe kuacha.

Mara chache nawashauri wanywa pombe, wavuta ganja kupunguza kamwe simshauri mtu kuacha. Usiulize kwa nini? Kama wewe hutumii Pombe?
Wanywaji wananielewa sana kwa hili

Pombe ina bahati zake bana usibishe usiekunywa acha wanywaji watiririke
 
kuna kaukweli kwambaaaaali. sema tungi na lo sio rafiki wa hela unaweza kuwa na laki tatu asubuhi ukaamka na coin za mia saba noti ya elfu tano, na noti ya elfu mbili. Ukipiga hesabu namna ulivyotumia hai-balance.
Unawaza ukaguzi wa ndani umepita?(wife) au ofa nlitoa? ukichekecha utaskia napumzika tungi
 
Binafs cmshaur mtu kunywa pombe, pombe adui wa maendeleo kabisa. Pombe inaleta ushawish wa ngona na matumizi mabaya ya pesa na hasa ukiwa na company mbovu. Acha pombe kunywa maji
 
heri yenu mnywao bia

ila ni fahari kwangu kunywa....

Banana aka mataputapu
value,kiroba,london dry nk

napenda sana kunywa LONDON DRY
 
Niliwahi kumwambia.....
Kama hataki nipombeke, nibora tujiache.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hakika maisha hayafai kitu, nafarijika kuona masikini tumepewa kibali cha kunywa ili tusahau shida zetu
Unanikumbusha kangara, chibuku, rubisi, kangara, kwete, Mnanasi, choya na nyingine nyingi. Ijulikane Evelyn Salt wakati wa wafalme, pombe ilitumika kama kitu cha kumvutia na kumpelekea mfalme. Kama pombe yako nzuri unapewa shamba na ananyang'anywa jirani yako. Was it fare? Tuombe yasirudi maana tutajikuta watu tunaishi chini ya mawe. Pombe inaoza, inazika, inaomboleza, inakaribisha wageni na watoto wazaliwao huwa wanapewa angalao kijiko kuua minyoo. Nini kama our presider!!!!!
 
Binafs cmshaur mtu kunywa pombe, pombe adui wa maendeleo kabisa. Pombe inaleta ushawish wa ngona na matumizi mabaya ya pesa na hasa ukiwa na company mbovu. Acha pombe kunywa maji
Kunywa maji upate typhoid
 
Hi kitu
Hii kitu hainaga ushemeji, Pesa inamalizagaa

Wanasemaga tumia pesa ikuzoee, starehe/pombe...zina uhusiano na pesa mazee....ukijua kuzitumiaga sana na akili inafungukagaa[emoji61] [emoji61] .

Kwenye bar kunakuwaga na madili mengi haramu aka ya mkato na mengi ya kujenga nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…