Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,981
- 3,604
Pombe ndio kila kitu usibishe kama wewe hutumii pombe.
Nimewahi acha pombe nakwambia nilifulia ajabu
Sasa nakunywa pombe a.k.a bia a.k.a lager a.k.a kitwanga nazishika noti hatare iga ukome.
Sijawahi kushauri mtu asietumia kileo kunywa bia pia sijawah kumwambia mnywaji wa pombe kuacha.
Mara chache nawashauri wanywa pombe, wavuta ganja kupunguza kamwe simshauri mtu kuacha. Usiulize kwa nini? Kama wewe hutumii Pombe?
Wanywaji wananielewa sana kwa hili
Pombe ina bahati zake bana usibishe usiekunywa acha wanywaji watiririke