Lewis Maker
Member
- Jan 25, 2019
- 47
- 16
Hakika umewasilisha hoja kama mimiKwa kifupi pombe inafanya nerves za fahamu zi relax. Ubongo huwa haulali unafanya kazi masaa 24 uwe sober au tingas.
Unapokunywa pombe nyingi, ubongo uki dectate danger, unapeleka habari kwenye nerves na una lala ili kuulinda mwili. Wale wanaozima bar huwatokea hali hiyo.
Unapokunywa pombe nerves hu relax na sex hua kama sehemu ya relaxation.
Sina uhakika uhusiano wa pombe na nguvu za kiume kwa matokeo ya muda mrefu.
Kwa kifupi pombe inafanya nerves za fahamu zi relax. Ubongo huwa haulali unafanya kazi masaa 24 uwe sober au tingas.

Pombe chafu izo mkuu anacha nazo , zinauzwa buku mbili mpaka mbili jero kulingana na eneo husika ! Jamii yake kitoko Ni shujaa, zed, Waka Waka, Jambo, strong, rivela, high Life, leaders, readers, n.k zipo nyingi mno!Kipombe flani kikali nilipewa na Jamaa yangu siku ya kwanza nikaota niakarudia kama Mara mbili mambo ni yaleyale kinaitwa KITOKO cjui kinatengenezwa wap
Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe chafu izo mkuu anacha nazo , zinauzwa buku mbili mpaka mbili jero kulingana na eneo husika ! Jamii yake kitoko Ni shujaa, zed, Waka Waka, Jambo, strong, rivela, high Life, leaders, readers, n.k zipo nyingi mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukisema pombe tunamaanisha sumu ya alcohol iliyopo kwenye kinywaji hicho.Habari za muda huu wana Jf , I hope mmeelewa uzi najua huku kuna madoctor wenye uzoefu na hayo mambo .
Swali langu pombe inachangia vp kupunguza nguvu za kiume kama baadhi ya mada nilizoziona humu Pia nataka kufahamu ni kwanini ukinywa pombe asilimia kubwa tunawaza kwenda kufanya mapenzi kwann tusiwaze kitu kingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Danger na kulala wapi na wapi? Na kwa nn ukikutana labda na mbwa mkali ubongo uka sense danger kwa nini huwa unakimbia na si kulala?Kwa kifupi pombe inafanya nerves za fahamu zi relax. Ubongo huwa haulali unafanya kazi masaa 24 uwe sober au tingas.
Unapokunywa pombe nyingi, ubongo uki dectate danger, unapeleka habari kwenye nerves na una lala ili kuulinda mwili. Wale wanaozima bar huwatokea hali hiyo.
Unapokunywa pombe nerves hu relax na sex hua kama sehemu ya relaxation.
Sina uhakika uhusiano wa pombe na nguvu za kiume kwa matokeo ya muda mrefu.
Asante kwa ufafanuzi be blessingTukisema pombe tunamaanisha sumu ya alcohol iliyopo kwenye kinywaji hicho.
Kwa vile alcohol ni sumu mwilini, (mls 300 za alcohol inaweza kukupelekea kifo, au kwenye coma, na kusimamisha mfumo wa upumuaji) unapoitumia huongeza mapigo ya moyo na hivyo blood supply inaongezeka hadi kwenye mboo. Ndo maana kwa watumiaji wa alcohol ambao hawajachoka hujiona nguvu za kiume zinaongezeka kumbe ni ile sumu inaongeza mapigo ya moyo.
Moyo una misuli yake, kila siku misuli ile inavyotumika kupump moyo huchoka, na hivyo inahitajika dose kubwa zaidi ya alcohol ili kuiamsha zaidi.
Hivyo at a long run in usage of alcohol, mtu hawezi kufanya ngono hadi atumie alcohol.
Yaani akiwa hajatumia pombe mboo haisimami kwa sababu misuli ya moyo imechoka kusukuma damu kila kona ya mwili, ndo maana hata macho ya walevi nayo huishiwa nguvu kwa sababu hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh I got u my nicca,,, asante kwa ushauriAlcoholy lowers sperm count by reducing production of male hormone(testosterone) which are crucial for sperm production and other manly features
The following are some specific ways alcohol and testosterone can be related to one another:
When your body is metabolizing the ethanol in alcohol, it lowers the amount of a certain coenzyme which is present in the liver and testes. This coenzyme is NAD+, and it’s essential for the production of testosterone.When you drink your body also releases certain endorphins, which is why drinking can feel pleasant and relaxing. However, those endorphins can also cause problems in testosterone synthesis.When you’re a long-term drinker, it causes damage to certain tissues in your body, which can reduce the amount of testosterone fall in the testes and it can also destroy testosterone that already exists because of alcohol’s relationship to cortisol which is a stress hormone.Long-term, chronic consumption of alcohol can also increase estrogen, which is a female sex hormone. The testosterone in heavy, chronic drinkers may be converted into estrogen.Excessive drinking can interfere with your body’s ability to get quality sleep, and that can also cause problems with the production and levels of testosterone in your body.
Sent using Jamii Forums mobile app