Lewis Maker
Member
- Jan 25, 2019
- 47
- 16
Habari za muda huu wana Jf , I hope mmeelewa uzi najua huku kuna madoctor wenye uzoefu na hayo mambo .
Swali langu pombe inachangia vp kupunguza nguvu za kiume kama baadhi ya mada nilizoziona humu Pia nataka kufahamu ni kwanini ukinywa pombe asilimia kubwa tunawaza kwenda kufanya mapenzi kwann tusiwaze kitu kingine.
Sent using Jamii Forums mobile app