Hii ilichonifanya juzi sitasahau niligombana na kila alikatiza mbele yangu
Hiki kidude kibaya Sana .Bora hata double kick
Nitajuaje Sasa na Mimi ni dume!Hujui?
Pombe kali sana hizi dahEty shimha inapimwa hadi jero nilishangaa sana
Gongo
Umaweza tapika asubuhi