Hii pombe ni kali sana
Umeongea point sana.kifupi hata hizo pombe kali za bei ghali nazo nyingi zake ni fake labda ukazinywe new africa, hyatt nk ila huko kwingind eti unauziwa Jack D au Hainessy vingunguti au Tabata unatambaa mwenyewe umelipa 100k unajiona mwamba kumbe umeuziwa gongo ya mavi kutoka chanika....