Pombe kali zimepanda bei, bia inakuwaje?

Wakuu ibukeni Kitambaa cheupe 02 Kinondoni... Huku pashakucha ...Swala la Bei tutadiscuss siku nyingine ..Issa w/end...Tunairudisha Kino kwenye ramani.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kuna nn leo
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema!

Hivi wanyaji wa bia na pombe kari tunaibiwa au? Maana pombe kali zishapanda bei ila bia Zimebaki pale pale shida iko wapi? Au mi kwa sababu niko uku ruvuma?

TRa
Tbs
OSHA
Wateja
TUPAZE SAUTI
TANZANIA NI YETU
Huko zipo fursaza ziada,kwani ukitaka hata gongo unapata na zile nyingine laini laini,town hakuna hizo fursa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…