Pombe zote ni hatari, chochote alichokikataza Allah kina madharaPombe kali zinazotengenezwa yani kemikali yake inatumika kwenye matumizi tofauti japo serikali inapata faida kupitia kodi.
Kemikali hiyo inatumika kwenye sabuni zote,madawa mbalimbali na n.k.
Watumiaji wanaotumia kemikali hii wamekuwa matajiri wakiwadanganya kinywaji asilia wakati hakina tofauti na vinywaji vya soda za kemikali.
Kwa nini pombe kali zenye asili ya mazao zina bei na uwezi kukuta zimeasili watu ukilinganisha na zile zilizotumia mfumo wa kemikali sana.
wadau wafungueni vijana kuwa TRA anapata faida kwenye kemikali sio faida ya nyie pombe kali ya mazao sababu sio mzunguko wake.
Kemikali pia inaweza kutengenezwa na mazao.Pombe kali zinazotengenezwa yani kemikali yake inatumika kwenye matumizi tofauti japo serikali inapata faida kupitia kodi.
Kemikali hiyo inatumika kwenye sabuni zote,madawa mbalimbali na n.k.
Watumiaji wanaotumia kemikali hii wamekuwa matajiri wakiwadanganya kinywaji asilia wakati hakina tofauti na vinywaji vya soda za kemikali.
Kwa nini pombe kali zenye asili ya mazao zina bei na uwezi kukuta zimeasili watu ukilinganisha na zile zilizotumia mfumo wa kemikali sana.
wadau wafungueni vijana kuwa TRA anapata faida kwenye kemikali sio faida ya nyie pombe kali ya mazao sababu sio mzunguko wake.
Majini ni hatari. Ila hajakataza hayoPombe zote ni hatari, chochote alichokikataza Allah kina madhara
Majini ni hatari. Ila hajakataza hayo
Hakuna shetani mwema.View attachment 3280179View attachment 3280179
https://www.google.com/search?q=Hakuna+jini+mzuri+anamuingia+binadamu+othman+maalim&client=ms-android-samsung-gj-rev1&sca_esv=80f76ac52c066e89&sxsrf=AHTn8zoR6_KwbsExvIcMKg3DxidysCJyCw:1742694944417&ei=IGrfZ9WbGbKDhbIPhdXrGA&oq=Hakuna+jini+mzuri+anamuingia+binadamu+othman+maalim&gs_lp=EhNtb2JpbGUtZ3dzLXdpei1zZXJwIjNIYWt1bmEgamluaSBtenVyaSBhbmFtdWluZ2lhIGJpbmFkYW11IG90aG1hbiBtYWFsaW0yBRAAGO8FMggQABiABBiiBDIIEAAYgAQYogQyCBAAGIAEGKIESMxCULsqWJQ5cAB4AJABAJgBwgOgAfoZqgEHMi0yLjcuMbgBA8gBAPgBAZgCBaACgQ3CAgsQABiABBiwAxiiBMICCBAAGLADGO8FmAMAiAYBkAYEkgcDMy01oAfbKLIHAzMtNbgHgQ0&sclient=mobile-gws-wiz-serp#
5:47

Jini mwema hakai kichwani mwa mwanadamu huyo sio mzuri.
Una hakika alitaka kuandika hivyo?🤣🤣Zimeasili...zimeathiri
Ala kaingiaje hapa,huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine.Pombe zote ni hatari, chochote alichokikataza Allah kina madhara
huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
Watu wengine bhana kwa kupenda ulabu!!,wako tayari kumkufuru muumba wao, yaani.Majini ni hatari. Ila hajakataza hayo