Mkuu umeandika aya 5 lakini umeshindwa kututajia hiyo kemikali. Wakija wengine wakasema huu ni umbea wala usimind
Nani kamwelewa?Pombe kali zinazotengenezwa yani kemikali yake inatumika kwenye matumizi tofauti japo serikali inapata faida kupitia kodi.
Kemikali hiyo inatumika kwenye sabuni zote,madawa mbalimbali na n.k.
Watumiaji wanaotumia kemikali hii wamekuwa matajiri wakiwadanganya kinywaji asilia wakati hakina tofauti na vinywaji vya soda za kemikali.
Kwa nini pombe kali zenye asili ya mazao zina bei na uwezi kukuta zimeasili watu ukilinganisha na zile zilizotumia mfumo wa kemikali sana.
wadau wafungueni vijana kuwa TRA anapata faida kwenye kemikali sio faida ya nyie pombe kali ya mazao sababu sio mzunguko wake.
Chief, kuna google, Astavista, mpaka ChatGPT nk nk, hebu tumieni hizo free education centers kupata maarifa kidogo.![]()
Asilimia kubwa ya pombe tunazouziwa kwa bei ndogo ni methanol au ethanol
Dunia ya sasa unaweza kunidhibiti mimi kueleza ukweli ila kwa sababu inalipa kodi sawa kwa sababu ni sehemu yenu. Hizi kemikali za methanol au ethanol zilikuwa kwa ajili ya madawa mfano manukato, sabuni za kunikia na mambo mengine. Hizi pombe kama hakuna mtaalamu kweza kufanya elimu husika...www.jamiiforums.com
Ni kweli that I attached that thread and replied to your comment, but that doesn’t necessarily mean it's the caseChief, kuna google, Astavista, mpaka ChatGPT nk nk, hebu tumieni hizo free education centers kupata maarifa kidogo.
Unatakiwa kujua tofauti ya methanol and ethanol baada ya hapo unatakiwa kujua pombe ni nini na Kama ipo katika mojawapo ya groups za hydrocarbons hizi mbili tulizozisema hapo juu ama laa!
Just to declare, and for your information, mimi ni professional Brewer ninayetambuliwa na Institute of Brewing and Distillation ya Scotland, Nina masters ya mambo ya pombe nk, so while I agree in principle, that extensive consumption of alcohol is a problem to your health but tusidanganyanye kwamba pombe sijui za nafaka Ndo nzuri au sijui kitu gani ndo mbaya.
soma na jifunze kabla ya kuongea