Uchaguzi 2020 Pombe Magufuli amnadi Ezekia Wenje(CHADEMA) akidhani ndiye Mgombea wa CCM

Huyu ndiye rais ninayeona yuko disorganised and unwell informed. Hii si mara ya kwanza kujichanganya na kwasababu amemount mamlaka yote, wengine wanakosa nafasi ya kumkosoa wanabaki wakimsifia hata kwa maujinga anayofanya.
Ukweli upo hata moyoni kwa wanaccm wenyewe kuwa chama kimeshapoteza mvuto, kilichobaki ni kutumia nguvu.
Hatma ya kisiasa nchini ipo mikononi mwa vyama vya upinzani kukubaliana na CCm watakavyo au kureact against it baada ya election.
 
Sawa tutamchagua Ezekiel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…