Pombe na Kiingereza

kinguhj

Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
49
Reaction score
129
Kuna uhusiano gani kati ya pombe na Kiingereza? Kwanini wanywaji wa pombe walio wengi huzungumza kizungu mara baada ya kulewa? Japo ni broken English lakini najiuliza kwanini isiwe kichina? Au Kiarabu? Na lugha nyingine?
 
Weka na video inayoonesha mlevi anaongea kiingereza ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…