Pombe na nyama

hawezi kulewa kwa 7bu amekula nyama na pombe
 
Nikiwa kama mwenyekiti wa chama cha po.nya.ku..... karibu sana bwana mdogo
 
NIMEJIULIZA KWA NINI WALEVI HUWA WANAPENDA NYAMA BADALA YA MATUNDA NA MBOGAMBOGA WAKATI WA KULEWA
 
unalewa but rate sio kama ukiwa na empty stomach,nyama ina slow down absorption ya pombe
 
Siyo nyama tu. Ukila chakula chochote kabla ya pombe unachelewa kulewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…