mikedaniel
Member
- Apr 6, 2017
- 21
- 6
Kwanini mtu akinywa pombe alafu akala nyama hawezi kulewa, naombeni mnisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawezi kulewa kwa 7bu amekula nyama na pombe
Umewahi kufanya hivyo ukathibitisha kuwa hukuweza kulewa au umehadithiwa na walevi?Kwanini mtu akinywa pombe alafu akala nyama hawezi kulewa, naombeni mnisaidie
Nikiwa kama mwenyekiti wa chama cha po.nya.ku..... karibu sana bwana mdogo
Kwanini mtu akinywa pombe alafu akala nyama hawezi kulewa, naombeni mnisaidie
Analewa, sema anakuwa hajalewa pombe bali kalewa pombe na nyama.Kwanini mtu akinywa pombe alafu akala nyama hawezi kulewa, naombeni mnisaidie
Nikiwa kama mwenyekiti wa chama cha po.nya.ku..... karibu sana bwana mdogo
Mmmmh ndo sababu jamanihawezi kulewa kwa 7bu amekula nyama na pombe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hicho ni chama cha wala nyama,pombe na ku..m...Mmmh cjakuelewa
Sometimes unakuwaga na akili sometimes unaandikaga ushudu JaneSiyo nyama tu. Ukila chakula chochote kabla ya pombe unachelewa kulewa