Gospel KTV
JF-Expert Member
- Aug 23, 2025
- 343
- 493
Naomba tufungue kitabu cha mithali katika biblia:
Mithali 31:4–5
3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.
4 Kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo?
5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Alcohol, The Body Eating Spirit
Wengi hatuoni kwa macho ya ndani, lakini ukweli ni kwamba pombe siyo kinywaji cha burudani pekee, ni dawa ya kulevya iliyopewa uhalali.
Neno alcohol linadaiwa kutoka kwenye Kiarabu “Al-Kuhl” likiwa na tafsiri ya “roho inayokula mwili”. Na tukitazama kwa undani, ndivyo ilivyo. Pombe ni sumu inayoua seli za ubongo na kuua ari ya mtu taratibu.
Kwa karne nyingi pombe imekuwa chombo cha kudhibiti jamii. Imetumika kuwasweka watu katika hali ya chini ya ufahamu, kuwakataisha tamaa na kuondoa nguvu ya kiroho ndani ya jamii. Ndiyo maana iliingizwa makusudi kwa jamii nyingi za asili duniani kote, ikawa ni silaha ya kuvunja mshikamanano wao wa kiroho na kijamii.
Leo hii hali haijatofautiana sana. Utamaduni wetu pia umejengwa juu ya pombe: inatangazwa kama burudani, “fashion”, sehemu ya sherehe na kijamii. Lakini nyuma ya pazia, pombe inabaki kuwa sumu ikitufanya tukose muunganiko na nafsi zetu za ndani na kutuzuilia kufikia uwezo wetu halisi.
The long-term effects of alcohol are considered to be a major global public health issue and include:
1. liver disease,
2. hepatitis,
3. cardiovascular disease (e.g., cardiomyopathy),
4. polyneuropathy,
5. alcoholic hallucinosis,
6. long-term impact on the brain (e.g., brain damage, dementia, and Marchiafava–Bignami disease),
7. cancers.
The World Health Organization published a statement in The Lancet Public Health that concluded, "no safe amount of alcohol consumption for cancers and health can be established.