Pombe ni hatari jamani

Pombe ni hatari jamani

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
_Jamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake,

kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.

Nae kaondoka.
 
Back
Top Bottom