Pombe ni nini? Kwanini mtu analewa?

Pombe ni nini? Kwanini mtu analewa?

bartenderznz

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
398
Reaction score
195
Kwanini ukinywa maji hulewi, bali ukinywa beers, spirits,wine,cider n.k unalewa?

Kama wewe ni mtumiaji/mnywaji wa kileo toa sababu zako kwanini unalewa?
 
Minilijua utakuwa umeelezea kumbe we mwenye hujui kwann watu walewa 🤔
 
Back
Top Bottom