Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
Mkuu hujasikia kuwa kuna kitabu kimoja cha dini,kimesema huko peponi tutaikuta pombe na tutagida,yani full kujichotea kwenye mito ya pombe.Wenyewe husema Ukiinywa kwa taadhari kubwa haina Shida. Tatizo Ni kwamba huwezi kunywa kiasi kidogo kila siku, lazima uongeze gradually kadiri siku zinavyoenda hadi ikuharibu magoti.
Kuna fundi ujenzi nilimwomba anifanyie kazi fulani, eti akaogopa kusimama juu ya pipa kisa maungo ya mifupa hayana nguvu, chanzo Ni pombe.
Kwa upande wangu naona Bora hata bangi iruhusiwe halafu pombe ipigwe marufuku kwani sijawahi kumuona mvutabangi anakosa nguvu ya Kufanya kazi au anasababisha ajali barabarani tofauti na walevi wa pombe wafanyavyo.
Hata Matatizo ya nguvu za kiume huwakumba watu Wengi wanaotumia vinywaji vikali.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app