Pombe ni starehe isiyofaa

Mkuu hujasikia kuwa kuna kitabu kimoja cha dini,kimesema huko peponi tutaikuta pombe na tutagida,yani full kujichotea kwenye mito ya pombe.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Samahani mkuu,mbona kuna shekhe mmoja anasema peponi pombe ipo,tena ni tamu sio kama ya hapa Duniani ni chungu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Eti wavute bangi. Eti ujaona bangi inavyolaza watu😂😂😂😂..
Vuta bangi uone cha moto,
Pombe napiga chupa zangu mbili naingia dukani kupiga kazi mpaka jioni.
Kula bangi kihalali uone cha moto. Kama hujapiga deki ukuta😂😂😂
 
Mkuu biashara hiyo.
serikali inapiga pesa kupitia hiyo biashara.

ngoja wanywaji waje hapa ujibishane nao akinasisi tujifunze uwenda kuna kitu kikubwa huwa tunamiss.
nawasikiaga tu wanasepa shtua upate vibe .
Hakuna jipya kabisaa
 
Huyo fundi ni lishe sio pombe mpe chakula ana njaa atakufia upate mada kesi
 
Kuna sheikh hapa mtaani kwetu ukimuona huwezi amini - pombe hanywi ila mpulizaji mzuri sana, jamaa analipuliza utafikiri anakufa kesho.
 
Watu wanaokunywa juice na soda ndio wanaoongoza kwa unafiki iwe makazini au mtaani.
Unataka pombe ipigwe marufuku unajua Kodi inayolipwa na hayo makampuni?
Na wanaongoza kwa madeni ya bar
 
Samahani mkuu,mbona kuna shekhe mmoja anasema peponi pombe ipo,tena ni tamu sio kama ya hapa Duniani ni chungu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ndio Mungu katukataza hapa duniani bcz pombe ya duniani ina madhara ww mwenyeo ni shahidi ajali ngapi zinatokea kisa pombe?watu wanapoteza familia zao kisa pombe na watoto kubaki yatima!

Pombe ya Akhera haina uchungu na ni nzuri kwa watakaokunywa


( مَّثَلُ الْجَنَّةِ الَّتِي وُعِدَ الْمُتَّقُونَ ۖ فِيهَا أَنْهَارٌ مِّن مَّاءٍ غَيْرِ آسِنٍ وَأَنْهَارٌ مِّن لَّبَنٍ لَّمْ يَتَغَيَّرْ طَعْمُهُ وَأَنْهَارٌ مِّنْ خَمْرٍ لَّذَّةٍ لِّلشَّارِبِينَ وَأَنْهَارٌ مِّنْ عَسَلٍ مُّصَفًّى ۖ وَلَهُمْ فِيهَا مِن كُلِّ الثَّمَرَاتِ وَمَغْفِرَةٌ مِّن رَّبِّهِمْ ۖ كَمَنْ هُوَ خَالِدٌ فِي النَّارِ وَسُقُوا مَاءً حَمِيمًا فَقَطَّعَ أَمْعَاءَهُمْ )

محمد (15) Muhammad

Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya mvinyo yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…