Vitalis Konga Senior Member Joined Sep 22, 2018 Posts 127 Reaction score 231 Dec 25, 2018 #1 Habar wana JF Leo nakuja na Uzi huu wa kufungia mwaka 2018 "Unywaji pombe kiasi huleta shangwe moyoni na furaha rohoni" #MyTake Kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka,Jihadhari sana na unywaji uliopitiliza Nini maoni yako kuhusu Pombe?
Habar wana JF Leo nakuja na Uzi huu wa kufungia mwaka 2018 "Unywaji pombe kiasi huleta shangwe moyoni na furaha rohoni" #MyTake Kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka,Jihadhari sana na unywaji uliopitiliza Nini maoni yako kuhusu Pombe?
T Team JPM JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 1,197 Reaction score 1,826 Dec 25, 2018 #2 Hiyo shsngwe na furaha itokanayo na Pombe, hutoweka baada ya Pombe,