Pombe sio chai: Matukio na vituko vyangu /wanangu wakishalewa pombe

Kuna jamaa langu likikolea mtindi linaanza mambo ya kisenge ,linaweza kuwaungia stori utasikia yule jamaa aliyekamatwa anampiga mashine Nguruwe Dodoma mnamjua? Wadau wakijibu hatumjui .Linanitaja mimi eti ndio huyu hapa ni rafiki yangu .Na mambo mengine ya kishenzi shenzi.

Nimecheka sana, hahahah hilo lijamaa jau kichizi
 
Kuna siku nipo mshkaj bar flani tunakula vitu, jamaa akaamua kunipa wallet na simu nimshkie (hahah et akaona kwamba mim ndo siwezi lewa kifala), mida mida kila mtu akasepa kivyake, asubuh jamaa kaja geto kuchukua vitu vyake, nilibisha kabisa kwamba alinipatia mpaka tulikaribia kushkana mashati. Tukakata shaur kwamba tukaulize pale bar, kufika tukaanza kuuliza wahudumu kama wameokota wallet na simu. Ghafla akatokea dada mmoja muhudumu kwa sauti nyororo kabisa "kaka maso pa kyindi mbona ulinipa jana wew mwenyew afu hata hukusema kama nikushkie au lah, nilipotaka nikurejeshee vitu vyako ulikua unafoka"
nilisikia aibu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa langu likikolea mtindi linaanza mambo ya kisenge ,linaweza kuwaungia stori utasikia yule jamaa aliyekamatwa anampiga mashine Nguruwe Dodoma mnamjua? Wadau wakijibu hatumjui .Linanitaja mimi eti ndio huyu hapa ni rafiki yangu .Na mambo mengine ya kishenzi shenzi.
[emoji23][emoji23]
 
Nipo chuo Kuna wana , siku tumewaka kutakaenda kuwaka tena . Fika saa nane hivi jamaa kakolea . 😅 kumbe akikolea kila demu atakaye muona ni wake . Kuna mwana alikuja na pisi yake mpya . Mwana kamvamia anasema huyu mke wangu . Demu anamkataa jamaa kakomaa . Ile siku tulitoka na aibu sana . Alifukuza pisi zote. Kama 3 hivi zilimtumia kama excuse . Kesho yake nusu watu wapigane . Watu wanataka matunda ya uwekezaji alipie
 
Nipo na mwanangu mmoja rangi nyeupe( msomali) kula vitu sana . Malaya mmoja akajigonga mwana akasema freshi apige mambo aisee saa nane mimi nikashindwa nikasepa . Mwana ongeza pombe tu . 😂😂 . Kesho napiga simu anapokea mtu wa counter , nafika pale mwana yupo mtaloni hana hata mia , koti wala viatu . Na wamekuda boda wana mdai 6k na counter 58 k . Pisi ilichukua drinks mwana kazima mezani the rest hakumbuki .
Next meeting akaibamba hii pisi anataka kumpa papa bure to compasate , na bia alikula nyingi sana tena . Sema tuliiacha
 
Miaka ya 2006 jomba alienda kuutwika. Karudi na kulala,
alfajiri imefika aende chooni sasa.
Room kulikuwa na monitor ipo sakafuni mjomba si akafananisha na sink la choo ..... Niliona akiwa anaikojolea Huku akisema afadhali leo choo kipo karibu.
 
Kuna jamaa langu likikolea mtindi linaanza mambo ya kisenge ,linaweza kuwaungia stori utasikia yule jamaa aliyekamatwa anampiga mashine Nguruwe Dodoma mnamjua? Wadau wakijibu hatumjui .Linanitaja mimi eti ndio huyu hapa ni rafiki yangu .Na mambo mengine ya kishenzi shenzi.
🤣Nimecheka, huyu ni Mbwichichi. Maana anapenda stories za kupiga mashine Nguruwe
 
Senge hilo jamaa siku moja tumekula vitu likaniambia leo nakuibia kasiri kangu nimekaficha siku nyingi .Eti hivi unajua mimi zamani nilikua SHOGA.Tulikuwa na majamaa wacha wapanic nikawaaambia lizinguaji hilo nalifahamu vizuri .
 
Miaka ya 2006 jomba alienda kuutwika. Karudi na kulala,
alfajiri imefika aende chooni sasa.
Room kulikuwa na monitor ipo sakafuni mjomba si akafananisha na sink la choo ..... Niliona akiwa anaikojolea Huku akisema afadhali leo choo kipo karibu.

Hahahaha
 
Senge hilo jamaa siku moja tumekula vitu likaniambia leo nakuibia kasiri kangu nimekaficha siku nyingi .Eti hivi unajua mimi zamani nilikua SHOGA.Tulikuwa na majamaa wacha wapanic nikawaaambia lizinguaji hilo nalifahamu vizuri .
Huyo jamaa akilewa anakuwa boya sana aisee
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Nipo chuo Kuna wana , siku tumewaka kutakaenda kuwaka tena . Fika saa nane hivi jamaa kakolea . [emoji28] kumbe akikolea kila demu atakaye muona ni wake . Kuna mwana alikuja na pisi yake mpya . Mwana kamvamia anasema huyu mke wangu . Demu anamkataa jamaa kakomaa . Ile siku tulitoka na aibu sana . Alifukuza pisi zote. Kama 3 hivi zilimtumia kama excuse . Kesho yake nusu watu wapigane . Watu wanataka matunda ya uwekezaji alipie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Senge hilo jamaa siku moja tumekula vitu likaniambia leo nakuibia kasiri kangu nimekaficha siku nyingi .Eti hivi unajua mimi zamani nilikua SHOGA.Tulikuwa na majamaa wacha wapanic nikawaaambia lizinguaji hilo nalifahamu vizuri .
😂Yani hilo jamaa lina sifa zote za Mbichichi itakuwa ndio hilo jamaa lako

Huwa likiropoka hivo linakuwq linacheka ?
 
Senge hilo jamaa siku moja tumekula vitu likaniambia leo nakuibia kasiri kangu nimekaficha siku nyingi .Eti hivi unajua mimi zamani nilikua SHOGA.Tulikuwa na majamaa wacha wapanic nikawaaambia lizinguaji hilo nalifahamu vizuri .
[emoji23]
 
Back
Top Bottom