Kuna jamaa langu likikolea mtindi linaanza mambo ya kisenge ,linaweza kuwaungia stori utasikia yule jamaa aliyekamatwa anampiga mashine Nguruwe Dodoma mnamjua? Wadau wakijibu hatumjui .Linanitaja mimi eti ndio huyu hapa ni rafiki yangu .Na mambo mengine ya kishenzi shenzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nipo mshkaj bar flani tunakula vitu, jamaa akaamua kunipa wallet na simu nimshkie (hahah et akaona kwamba mim ndo siwezi lewa kifala), mida mida kila mtu akasepa kivyake, asubuh jamaa kaja geto kuchukua vitu vyake, nilibisha kabisa kwamba alinipatia mpaka tulikaribia kushkana mashati. Tukakata shaur kwamba tukaulize pale bar, kufika tukaanza kuuliza wahudumu kama wameokota wallet na simu. Ghafla akatokea dada mmoja muhudumu kwa sauti nyororo kabisa "kaka maso pa kyindi mbona ulinipa jana wew mwenyew afu hata hukusema kama nikushkie au lah, nilipotaka nikurejeshee vitu vyako ulikua unafoka"
nilisikia aibu sana
[emoji23][emoji23]Kuna jamaa langu likikolea mtindi linaanza mambo ya kisenge ,linaweza kuwaungia stori utasikia yule jamaa aliyekamatwa anampiga mashine Nguruwe Dodoma mnamjua? Wadau wakijibu hatumjui .Linanitaja mimi eti ndio huyu hapa ni rafiki yangu .Na mambo mengine ya kishenzi shenzi.
🤣Nimecheka, huyu ni Mbwichichi. Maana anapenda stories za kupiga mashine NguruweKuna jamaa langu likikolea mtindi linaanza mambo ya kisenge ,linaweza kuwaungia stori utasikia yule jamaa aliyekamatwa anampiga mashine Nguruwe Dodoma mnamjua? Wadau wakijibu hatumjui .Linanitaja mimi eti ndio huyu hapa ni rafiki yangu .Na mambo mengine ya kishenzi shenzi.
😀😀🤣Nimecheka, huyu ni Mbwichichi. Maana anapenda stories za kupiga mashine Nguruwe
Senge hilo jamaa siku moja tumekula vitu likaniambia leo nakuibia kasiri kangu nimekaficha siku nyingi .Eti hivi unajua mimi zamani nilikua SHOGA.Tulikuwa na majamaa wacha wapanic nikawaaambia lizinguaji hilo nalifahamu vizuri .🤣Nimecheka, huyu ni Mbwichichi. Maana anapenda stories za kupiga mashine Nguruwe
Miaka ya 2006 jomba alienda kuutwika. Karudi na kulala,
alfajiri imefika aende chooni sasa.
Room kulikuwa na monitor ipo sakafuni mjomba si akafananisha na sink la choo ..... Niliona akiwa anaikojolea Huku akisema afadhali leo choo kipo karibu.
Huyo jamaa akilewa anakuwa boya sana aiseeSenge hilo jamaa siku moja tumekula vitu likaniambia leo nakuibia kasiri kangu nimekaficha siku nyingi .Eti hivi unajua mimi zamani nilikua SHOGA.Tulikuwa na majamaa wacha wapanic nikawaaambia lizinguaji hilo nalifahamu vizuri .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo chuo Kuna wana , siku tumewaka kutakaenda kuwaka tena . Fika saa nane hivi jamaa kakolea . [emoji28] kumbe akikolea kila demu atakaye muona ni wake . Kuna mwana alikuja na pisi yake mpya . Mwana kamvamia anasema huyu mke wangu . Demu anamkataa jamaa kakomaa . Ile siku tulitoka na aibu sana . Alifukuza pisi zote. Kama 3 hivi zilimtumia kama excuse . Kesho yake nusu watu wapigane . Watu wanataka matunda ya uwekezaji alipie
😂Yani hilo jamaa lina sifa zote za Mbichichi itakuwa ndio hilo jamaa lakoSenge hilo jamaa siku moja tumekula vitu likaniambia leo nakuibia kasiri kangu nimekaficha siku nyingi .Eti hivi unajua mimi zamani nilikua SHOGA.Tulikuwa na majamaa wacha wapanic nikawaaambia lizinguaji hilo nalifahamu vizuri .
Ni fala kinoma lakini akiwa hajatia vitu unaweza kusema mtu si ndio huyu sasa.Huyo jamaa akilewa anakuwa boya sana aisee
[emoji23]Senge hilo jamaa siku moja tumekula vitu likaniambia leo nakuibia kasiri kangu nimekaficha siku nyingi .Eti hivi unajua mimi zamani nilikua SHOGA.Tulikuwa na majamaa wacha wapanic nikawaaambia lizinguaji hilo nalifahamu vizuri .
Kuna jamaa langu likikolea mtindi linaanza mambo ya kisenge ,linaweza kuwaungia stori utasikia yule jamaa aliyekamatwa anampiga mashine Nguruwe Dodoma mnamjua? Wadau wakijibu hatumjui .Linanitaja mimi eti ndio huyu hapa ni rafiki yangu .Na mambo mengine ya kishenzi shenzi.
Kabisa?Silewi