Pombe sio chai: Matukio na vituko vyangu /wanangu wakishalewa pombe

Senge hilo jamaa siku moja tumekula vitu likaniambia leo nakuibia kasiri kangu nimekaficha siku nyingi .Eti hivi unajua mimi zamani nilikua SHOGA.Tulikuwa na majamaa wacha wapanic nikawaaambia lizinguaji hilo nalifahamu vizuri .

Kuna jamaa siku moja kalewa akaanza simulia alikuwa anawalawiti wenzie unajua tukaanza shangaa eti walikuwa wanalala room moja
 
Hapo wote hamjapiga nyagi bado ikakoleaa......ngoma ilikuaa nipo kimbokaa nakulaa nyagiii bapa mixer energydrink kuanzia saa saba mchana mpaka ngoma tisa usiku hapo gari za feli,msasani kkoo zinaanza kuamshaaa nikaona ngoja nikadake chuma cha gomz nishuke banana home....si nikapanda gar ya Chanika bana mbona nasikia kondaa oyaaa brooo hamka unashuka wapi.?,...eeh kwani tupo wapi mzeeee..!!huku natoa macho..konda chanika mwishoooo broooh.......kilichotokea hapo nikaona nichukue bodaboda chanika to banana ili nisipitilize mpaka kariako tenaaa
 
Miaka ya 2006 jomba alienda kuutwika. Karudi na kulala,
alfajiri imefika aende chooni sasa.
Room kulikuwa na monitor ipo sakafuni mjomba si akafananisha na sink la choo ..... Niliona akiwa anaikojolea Huku akisema afadhali leo choo kipo karibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Mwana wangu mmoja tulikuwa tupo room moja hostel kila akienda kulewa akirudi akalala na aki amka kwenda kukojoa basi anashuka kitandani then anafungua zile kabati ndefu za hostel anakojoa anafikiri amelala kwenye masters room na ile kabati ni choo basi ukimshitua oya hiyo sio choo nenda chooni nje anakuwa mkali anakwambia mi najua nilikuwa natafuta viatu niende chooni mi najitambua sijalewa.
 
Pasaka moja hivi tulikuwa na home party ya brothers na sisters aisee! Kama ilivyo ada tukaangusha kimbuzi mida ya asubuhi, baadae tukapata supu nzito na kisusio sasa ndiyo shughuli ya gambe ikaanza from 4asbh hadi usiku wa manane.

Brother angu 1 alichanganya hadi akaenda jifungia chooni na kulala mulemule(choo cha poti kukaa)[emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nilianza kuwafokea mabraza zangu kwamba mi ndiyo mkubwa waniache wakalale ili wawae shule[emoji23][emoji23][emoji23]

Nilijipata saa6 mchana kwenye meza ya dining[emoji1787][emoji1787]sikuelewa hata nilifikaje pale kichwa kilikuwa kizito mnoo nikaitisha mirinda nyeusi 2 kwani nilihisi kufakufa
 
Walevi wote wanapenda kuimba. Nyie walevi hawanaga stress kama sisi ambao hatunywi pombe.

Pili walevi wote wanajua kiingereza tena kilichonyooka.
My best friend queen (RIP) alikuwa super kwenye hii sector.
Akilewa ananyooka kiingereza kila mtu lazima amsikilize.

Mimi nilikuwa sijui kama akipiga vyombo anakuwaga hivyo. siku moja nikatoka nae tukiwa chuo. Basi counter nzima mbona walikoma? Pombe anaagaza kwa kiingereza kila kitu kinge tu basi vile vidada ni kucheka mimi sina mbavu ila hafanyi fujo ni birudani tu kwetu.
Akiniongelesha unasikia "my wiii keep my phone plz'" My wii you know, you need to be classic! you need to have your own money.........you see wiii, sometimes men are stupid.........if you have yr own money men will respect you. Oh this lady was classic and super. Nimemmiss sana.

Tukiwa chuo darasani tulikuwa tunakaa sehemu moja. Sasa kuna zile group presentation. Mara nyingi tulikuwa kwenye group moja sasa tumeshaandaa nondo muda wa kuchagua nani a present.

Kumbuka vyuoni kuna tabia moja wanaume wanapenda waanadae notice ila kwenye presentation lazima msala atupiwe mdada. Paaap akatupiwa wii maana yeye hajagi sana kwenye ma group. Akitupiwa msala wa presentation anaufoward kwangu " jamani mimi huwa nina shida nikisimama mbele ya watu napata kigugumizi tutapata zero🤣. Wifi yangu anajiamini sana naomba atuwakilishe. Namnongoneza " mbona kule bar ukianza kuongea kinge watu wote wanakusikiliza wewe? Akajibu mmh kwani huwa naongea? Usinambie natia aibu?🤣🤣🤣
Dah wanywa pombe nmajua kutuburudisha.
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...

Kuna wanaolia bila sababu...
Kuna wanaokua motivation speakers...
Kuna wanaocheza non stop...
Kuna wanaokua wagomvi...
 
Sasa si bora Bangi mkuu.. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pombe sio chai, kuna wajinga walichomana kisu gheto kwangu.

Ila baada ya Mwezi wakawa marafiki tena. Wanakunywa pamoja.

Duuh, mkuu mbona hatar sana hyo. Ila ndo hivo ugomvi wa kwenye pombe hua haudumu.
 

Yani mzee kupitiliza tu kituo ndo unaona ulikolea sana? Ukawa na ufahamu hata wa kuchukua boda!??
 
Sasa si bora Bangi mkuu.. [emoji23][emoji23][emoji23]

Bangi nayo inastimu za kipuuzi sana kaka, mi kuna siku nimepiga bs nikashangaa narudi home nacheka njia nzima hata bila kujua nin kinanichekesha. Afu kujizua nashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…