haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Vyuma vimekazwa na KUFURI
Halafu mkakosa SURUHU
kuvipata imekua MAJAALIWA
Hakika MNAKONDA
kiwanja katapeli MVUVI
kwenye uwanja wa mpira wamemwaga MAEMBE
Nasubiri ajira tangu ndege HAIRUKI
Bei ya vitu sasa ni GWALAGWALA
nakumbuka wakat naish wilaya ya MIKETE
Naona mapedeshee wame TULIA
najiuliza tu NDUGU WHY?
Halafu mkakosa SURUHU
kuvipata imekua MAJAALIWA
Hakika MNAKONDA
kiwanja katapeli MVUVI
kwenye uwanja wa mpira wamemwaga MAEMBE
Nasubiri ajira tangu ndege HAIRUKI
Bei ya vitu sasa ni GWALAGWALA
nakumbuka wakat naish wilaya ya MIKETE
Naona mapedeshee wame TULIA
najiuliza tu NDUGU WHY?